natafuta mtu wa kuprint tshirt....

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,548
2,000
Nataka kuprint tshirt za wanafunzi kwa alie tayari kufanya kazi aweke contact zake hapa...
 

kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,105
2,000
Mkuu nina tshirt za watoto, now ziko pic 15 plain ,white from UK.price Tshs 5,000 each.nko dar PM
 

kula kwa tindo

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
1,330
1,195
Rp Artwork..
T-Shirt Printing,Barners,Sign Board,Car Brandings,House Decoration & Painting,Canvas Painting etc... 0713 766203
 

scopi_on_nge

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
333
225
Cheki na huyu 0716770881 mjasiriamali yupo mwenge ana print tshirt

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

scopi_on_nge

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
333
225
Anayetaka Tshirt ya Mandela bei ni 15,000/= na zinapatikana Kamzungulu classic mwenge karibu na Nakiete Phamacy

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom