Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,319
- 111,475
Wakuu ule mzimu wa mashine za EFD unaendelea kuitafuna nchi yetu na leo hii muda maduka karibu yote yamefungwa kupinga Serikari jinsi inavyoliendesha swala hili.
Mgomo huu una athari kubwa za kiuchumi kwa mtu anayefahamu umuhimu wa kariakoo kama kitovu cha biashara.
Mgomo huu una athari kubwa za kiuchumi kwa mtu anayefahamu umuhimu wa kariakoo kama kitovu cha biashara.