Recent content by akenajo

  1. akenajo

    Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Chukua mahindi mabichi ya machanga kiasi ,osha tafuta hivyo hivyo mabichi asubuhi na jioni ,utanikumbuka
  2. akenajo

    Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Huenda ikawa ni fake news ,nigerians news hakuna hii taarifa imeanzia ghana
  3. akenajo

    Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Jun 6, 2021 Prophet T.B. Joshua Mr Joshua reigned for several decades as a fiery preacher on television, using his platform to attract a large number of Christians from across the world. Temitope Balogun Joshua, a frontline Nigerian preacher and televangelist, has died, family...
  4. akenajo

    Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

    wapumzike kwa Amani marehemu na pole ndugu na jamaa kwa kupoteza wapendwa wao
  5. akenajo

    Naanzaje kumtongoza huyu msichana aliyekuja ofisini kwetu?

    Tuma laki, then jifanye umekosea namba.
  6. akenajo

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Tatizo nchi yetu inafuata sheria na kanuni za ku solve mambo ,sio mabavu
  7. akenajo

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi mdogo Muhambwe: Dkt. Florence Samizi ashinda kwa kishindo

    Hongera sana kwa mshindi afanye kazi sasa kuwasaidia Watanzania wenzetu hapo.
  8. akenajo

    Safari moja nje ya nchi imenigharimu zaidi ya laki nne(400,000) kwenye vipimo vya Corona tu

    hapana ,labda lipa chukua risiti kadai bima yako ikulipe
  9. akenajo

    Anayopitia mdogo wangu wa kike siyo sawa na umri wake, inaniumiza sana...

    Dah poleni sana, msaidie tuu hata ushauri wa mawazo.
  10. akenajo

    Mazungumzo kuhusu nyungu na chanjo ya COVID-19

    kwanza mkuu umeshapima?
  11. akenajo

    Hadithi: Uchawi wa bilionea Bazoka

    mkuu shusha nondo basi tunasubiri
  12. akenajo

    tuna tafsiri lugha ya kichina na Kijapani

    mnaweza kubadilisha lugha kwenye GPS ya gari toka kijapani kuja English?
Back
Top Bottom