Recent content by akatanyukuile_tikoma

  1. akatanyukuile_tikoma

    Kansela wa Ujerumani: Hatuwezi Kumruhusu Putin Kushinda Vita hivi

    Kwani Putin anahitaji ruhusa ya mtu ili ashinde vita , yaani Kama vile mlimruhusu
  2. akatanyukuile_tikoma

    Mwenye kufahamu hii nguvu ya kiroho inatoka wapi

    Ikumbukwe mizimu ya buhaya ni tofauti kabisa na mizimu ya makabila mengine hata matambiko yalikuwa tofauti Sana , mizimu ya wahaya Inafanana Sana na ya Waganda kwa asilimia 100, Na mizimu ya wahaya ina Koo maalumu na Ina miiko maalum, kama Kuna mtu amewahi kufika kwenye eneo la makazi ya Kabaka...
  3. akatanyukuile_tikoma

    Mwenye kufahamu hii nguvu ya kiroho inatoka wapi

    Watu hawaelewi haya mambo Mimi ni mhaya naomba kueleza kidogo, mizimu ipo na Ina nguvu Sana, sitaki kuifananinisha na Mungu , nitakufuru , lakini kabla ya kuja kwa dini hizi za kigeni mizimu iliabudiwa, kiufupi yenyewe hufuatilia mambo yanavyokwenda kwenye ukoo, na sio kwamba ni ngu ya shetani ...
  4. akatanyukuile_tikoma

    My trip to Uganda

    When you reach Kampala , visit the place called New best , you will thank me
  5. akatanyukuile_tikoma

    Mauaji yazidi kutikisa nchini; Maiti tatu za wanawake zaokotwa kando ya mto jijini Mwanza

    Kwa akili yako unadhani Nani anachafua utawala fulani kwa kuua watu hivyo , wakati wa JPM hiyo akili ya kuchafua utawala uliiweka nchi gani Haya matukio lazima tuyalaani sote tusianze kubebesha mizigo watu fulani kijingajinga na kusambaza chuki
  6. akatanyukuile_tikoma

    Natafuta madini aina ya Lead

    Wana JF nahitaji haraka madini aina ya Lead Mwenye kujua yanapopatikana , au Kama mtu anayo naomba , Asante
  7. akatanyukuile_tikoma

    Uteuzi: Mcha Hassan Mcha ateuliwa kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa TRA

    Asalaam aleikumu TIARAEI Speed ile ile 2005 to 2015
  8. akatanyukuile_tikoma

    Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

    Mkuu naona wewe unachanganya mambo , Prof namfaham kabla ya kuwa mbunge na baada ya kuwa mbunge Ukisema shule hakujenga kwao niambie shule ya Kajumulo Alexander Girls School iko wapi na imejengwa na Nini Shule ya wasichana na anatoa elimu kwa kuwafadhili wasichana Pamoja na kujitolea huko...
  9. akatanyukuile_tikoma

    Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

    Nafikiri hujafuatilia michango ya Profesa Anna bungeni na nje ya Bunge ndugu Katika wabunge wa Kagera walioongelea Kagera na kuipigania Ni Prof Anna Tibaijuka Aliongelea zao la kahawa mpaka Rais akaingilia Kati , aliamuru wananchi katika Jimbo lake wauze kahawa popote wanapotaka na akagombana...
  10. akatanyukuile_tikoma

    Rais Samia: Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, lakini mbona mnakula sana mnavimbiwa? Jipimieni!

    Unaweza ukawa unaelewa lakini ukaifanya akili yako iwe duni kwa makusudi
  11. akatanyukuile_tikoma

    Msaada kuhusu hii ndoto

    Nushauri zaidi maana naona mwanga Mimi mkiristo
Back
Top Bottom