Recent content by akatanyukuile

  1. akatanyukuile

    TCRA mnaniharibia Kazi kuzima mitandao ya Kijamii. Mitambo ya Kiwanda inakufa

    Alikua anapata maelekezo mbona mgumu kuelewa upo baa nini.
  2. akatanyukuile

    Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

    Wadau sijui kama itakua kwa upande wangu au ni sote ila kiukweli twita kwa sasa haifanyi kazi huwez tuma ujumbe au kupokea hata kama una kifurushi cha namna gani yaan ninahis utabir umetimia.
  3. akatanyukuile

    Siri ya Marekani kuingilia uchaguzi mkuu Tanzania

    Watu hamkos visingizio ila ukweli adui wa mwafrika ni mwafrika mwenyewe. Sku zote watawala wa afrika wamekua na udikiteta na ukaid kwa raia wao ndo maana inapotokea upenyo wa mataifa ya magharibi wanaingia kirais kwani ni raia wenyewe wanakua wamechoka. Mfano tu kama unafuatiria kampain nyomi...
  4. akatanyukuile

    Ninatafuta vifaranga vya kuku

    Habari wana jamvi ninahitaji vifaranga vya kuku mwezi mmoja chotara au black leghon ambavyo vimeisha pata chanjo na vimeifadhiwa vizuri. Ninaomba kama unaweza kuvipata au unajua kitalu kizuri kilipo tuwasiliane, location nipo Kinondoni Mabwe Pande. Bei tutaelewana asante sana ni kwa Dar pekee...
  5. akatanyukuile

    Hili la Vodacom na Airtel ku-block SMS zenye jina Tundu Lissu limekaaje?

    Leo nimepita kwenye twita nikakuta bandiko linaloonesha yakua ukituma sms kumuombea kura tundulisu haziendi ila ukiandika magufuli zinaenda, sasa nikajiuliza magufuli kuika huko ameishajua anashidwa, kwann amefika mbali mno, Yaan TISS, Polisi, NEC, vyombo vya habari, mambango Tra n.k sasa...
  6. akatanyukuile

    Kwanini nyumba yako unaiita "kakibanda kangu"? Mungu hapendi kujishusha sana. Having too much humility is self destructive

    Watu wanasema kibada ili kukidhi haja ya walimwengu, kwani akisema nyumba yangu atashabuliwa kwa maneno na kejeli utasikia dah si kwamajivuno hayo kijumba chenyewe chumba kimoja ila utasikia nyumba yangu n.k hivo hatuna jince lazima tujishushe ili watu walidhike
  7. akatanyukuile

    Nini maana ya Amani na Amani inaletwa na nini?

    Tanzania hakuna Amani kwani hakuna Amani bila haki Tanzania hakuana haki hata chembe, hasa hawa mbogamboga ndo wanaojiona wapo juu kuliko wengine.
  8. akatanyukuile

    Rais Magufuli, tunaomba ufanye interview na media. Usikae tu baba, mataifa wanahitaji kukusikia

    Huyu magu hawez kabisa kujieleza na hana haiba ya uanasiasa, nimtu mwenye jeuri majivuno ka kiburi. Na sikuzote watu wenye uelewa mdogo hutumia nguvu kubwa kwenye mambo yake. Hivo swala la inteeview ni ndoto kwake
  9. akatanyukuile

    Sheikh Ponda huwa ana tatizo gani? Kwanini anaogopwa sana?

    Ponda anajua kujenga hoja na kuitetea nimtu mtulivu sana anapokua anaongea ni kweli ni mtu hatari kwani ukimuacha dakika watu wapo barabarani nimeshuudia Dodoma watu wanaapa kulinda kura. Ponda ni namba nyingine.
  10. akatanyukuile

    Wakati wa mvua na mafuriko Dar es Salaam ndipo somo kwamba madaraja ya baharini sio kipaumbele cha kwanza kwa wakazi wa Dar litaeleweka!

    Pumbavu! Yaani unataka kuniambia dar nzima ipo bondeni hata sehem zenye miundombinu yao vip fikiri inje ya box
  11. akatanyukuile

    Msaada wa utofauti wa maneno mawili ya (English) RICH AND WEALTH

    Kama inavosomeka hapo juu kwenye pitapita zangu za kusaka maarifa ya kidunia nimekutana na maneno hayo mawili yakionesha utofauti mkubwa. Katika utofauti wa hayo maneno walienda mbali zaid na kuonesha yakua rich mwisho wake ni umasikini na wealth mwishowake ni good life. Sasa nikajiuliza...
  12. akatanyukuile

    Wimbi kubwa la vijana wasomi 20's kujitoa uhai, nini maoni yako?

    Mwanafunzi wa form six anakua na ndoto kubwa sana juu ya maisha yake akifika chuo ndo hapo ndoto ukua na kuona kama anakaribia mafanikio ila tatizo linaanzia pale anamaliza masomo yake anaenda mtaani mtu aliye kua anawaza gari kali nyumba nzur n.k anaambiwa aanze ujasiliamali wa kuuza tikiti...
  13. akatanyukuile

    Laana kuu Ubungo mataa!

    Yaan fly over ubungo nikama imeongeza folen sijui tz kulikon?
Back
Top Bottom