Nini maana ya Amani na Amani inaletwa na nini?

shirowise

Member
Jul 24, 2007
22
18
Naomba kujua definition ya AMANI na ili Amani ipatikane ni vitu gani vinatakiwa kufanywa kuleta Amani. Ninavyojua mimi Amani inapatikana kukiwa na HAKI, UHURU na vitu vingine.

Nashangaa wanaohubiri Amani hawasemi mambo ya Haki!
 
Tanzania amani ipo ama haipo ?
 
Amani kwa maana nyingine ni kuwepo kwa uhuru, haki, kuheshimiana na kufanya maamuzi yaliyo sahihi pasi na pingamizi kutoka kwa mamlaka, watu au tabaka lolote lile. Amani itakuwa amani endapo tu mtaka amani atakuwa mtaka/mtenda amani (asiyevunja amani).

Tanzania tunayo amani fulani lakini
 
Tanzania hakuna Amani kwani hakuna Amani bila haki Tanzania hakuana haki hata chembe, hasa hawa mbogamboga ndo wanaojiona wapo juu kuliko wengine.
 
Naomba kujua definition ya AMANI na ili Amani ipatikane ni vitu gani vinatakiwa kufanywa kuleta Amani. Ninavyojua mimi Amani inapatikana kukiwa na HAKI, UHURU na vitu vingine.

Nashangaa wanaohubiri Amani hawasemi mambo ya Haki!
Vitu vingine ambavyo hukutaja ni uoga na uthubutu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom