Recent content by akananasi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Yanga: Godfrey Bony hawahusu??

    Football siyo utamaduni wetu.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe hawa watangazaji wa redio free RFA

    Clouds fm-power breakfast.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji anayevutia kwa lugha ya Kiswahili

    Sued Mwinyi wa TBC..
  4. A

    JamiiForums Tanzania Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba ya nchi

    Hela ingerejeshwa na adhabu kuu juu yake ndo lingekuwa suluhisho na fundisho kwa wengine wa aina yake.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Umeisahau man city mkuu..
  6. A

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy SII GT-I9100 16 GB For sale

    umeitumia muda gani mkuu?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    mata alikuwa anaifanya hiyo kazi vzr sn..itz so unfortunate ameuzwa mtaa wa tatu old trafford..
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa VODA inafukuza wateja

    ni kweli.. voda hakufai tangia tar 14 dec...kama darfur vile.. nimejiunga na kifurushi cha buku nikapewa masekunde meeengi voda to voda na sekunde sitini kwenda mitandao mingine..huu ni utani hakika.. dawa yao ni kuwakimbia tu..mwisho watashika adabu..
  9. A

    JamiiForums Tanzania Buy Brand New Unlocked BlackBerry Z30

    thanks for info.. where is the geographical location of your shop?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Majambazi wapora maduka ya m-pesa mbezi mwisho

    wamekwenda kulinda amani sudan wakati sisi wenyewe hali yetu ni ya kuunga unga..hatujui kama kesho tutaamka salama...wanajeshi wako makambini na masilaha yao..tunaombeni waingilie kati...wawasaidie polisi..hali ni mbaya..jk mwenyewe amekiri hilo alipokuwa ziarani huko uhayani..
Back
Top Bottom