Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,690
- 5,568
Majambazi wakiwa na silaha, wamepora maduka mawili ya m-pesa, yaliopo njia panda ya moro na kinyelezi. majambazi hayo walipiga risasi nne hewani, na kuwafanya wananchi kukimbia ovyo, na wakatumia mwanya huo kupora na kutokomea uchochoroni. haijajulikana wamepora kiasi gani. Sambamba na tukio hilo jamaa mmoja, alikua akipata huduma kati maduka hayo, ameshushia kipigo karibu ya kuribu ya kumuondolea uhai. Kwa kuzaniwa ni mmoja kati ya majambazi hao, jamaa alikua akipata huduma pale, aliacha simu yake ichajiwe mkononi alibeba mfuko wenye kitoweo.majambazi walimkuta pale wakaamuru walale chini, walivoondoka majambazi jamaa alinyanyuka kwa kiwewe na kukimbia. watu wakazi nimmoja kati ya majambazi wakamkamata akapigwa na mawe, meza.mpaka alipotokea mtu wa kumtetea kuwa yeye hausiki anamjua, anakabia kutolewa uhai wake. kisa kimetokea saa mbili usiku.