Yanga: Godfrey Bony hawahusu??

Laury

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,271
1,510
Hivi inakuwaje Timu kama Yanga chama kubwa mmetoka kufiwa na mchezaji wenu wa zaman hata kuvaa kitambaa cheusi basi au kusimama dk1 kumkumbuka Bony mmekazana na issue ya dawa za boss wenu..daah
 
Mbumbumbu fc bhana
e05523cf3b4a06c883ba5a2599b73d67.jpg
 
Yebo fc wanatetea ujinga uliofanywa na viongozi wao,ule mchango wa Bony hawaukumbuki,wapo bize kumtetea mdosi wao anayeteswa na arosto..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom