mshirikishe mungu kwa maombi tangu mwanzo unapoanza kuweka nia a kutaka kupata mwenza wako, pia usiconcetrate sana kwenye maswala ya ngono bali mjenge kujuana kitaboa, interest na mapungufu zaidi, mrekebishane mapema vile vinavyowezekana kuliko kusubiriana mkiingia ndani, kikubwa uwe makini watu...