Recent content by Ak4700

  1. Ak4700

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu affiliate Marketing

    Wakubwa kuna mtu ananipa somo kuhusu uwekezaji wa mtandani kupitia kitu inaitwa Effiliate naomba oujua zaidi kama ni cha kufanya au cha kuacha maana naweza kusema naipotezea kumbe naweza kupata kihela cha vocha
  2. Ak4700

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wapi kaka wew Chihangu ni mitaa ya jirani sana
  3. Ak4700

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu samahani wewe ni mtu wa Chihangu? Mm ni maputi ila nipo kwa wagogo huku
  4. Ak4700

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufika degree kwa kuanzia Veta

    oh nashukuru sana mkuu ubarikiwe
  5. Ak4700

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufika degree kwa kuanzia Veta

    Diploma sio shida, shida yangu ni kwamba nishaajiliwa ila huku nilipo nikifikia level hii nitakuwa mtu mwenye faida kazini na hata kwny harakat zangu
  6. Ak4700

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufika degree kwa kuanzia Veta

    Nashukuru sana mkuu Hizi grades ndo NTA Level?
  7. Ak4700

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huu Uzi ulinipa demu wa level sana halaf nilijikuta namkubali sana ingawa alikuwa bado hajatuliza mawenge vizuri.. Tarh 30 mwez wa 10 niliitwa bank moja Dodoma kuna mshiko nikaupokee.. nimefika bahat nzuri nikakutana na mshikaji ni dereva na hatukuonana muda mrefu kitu kilichofanya tuongee kwa...
  8. Ak4700

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufika degree kwa kuanzia Veta

    mwendo aje kaka
  9. Ak4700

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufika degree kwa kuanzia Veta

    Wakubwa habari, Ni kijana mwenzenu naomba msaada wa ufahamu. Mimi ni Mtumishi wa Umma niliajiliwa na elimu ya kidato cha nne. Ila ninandoto ya kuitwa Injinia siku moja na ninaamini kwenye ufundi kuwa ndo nitakapotajirika. Swali; Je naweza kusoma ufundi veta na nikakidhi vigezo vya kusoma degree?
  10. Ak4700

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa?

    Wakubwa habari za majukumu. Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kubadilisha note ya Oman Baisa napatikana Dodoma
  11. Ak4700

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    bila shaka mleta mada ni single Mama.. Labda nichangie kwa kusema.. Kuoa sio jambo la plan na wala sio jambo la kubahatisha. Wapo waliooa masingle Mama wakapendana sana na maisha yakawa mazuri mno.. lakin wapo waliooa masingle Mama mambo yakawachachia na wapo waliooa Bikra wakajiaminisha kuwa...
  12. Ak4700

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    hujakosea kabisa ingawa mim nilikuwa usawa wa njia panda ya mdhambarau
  13. Ak4700

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    wap mkuu
  14. Ak4700

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

    Kwakweli siwez hata kudanganya kwenye hili.. Ninayempenda ni mmoja kwa sasa simcheat lakn kipindi hicho nilikuwa nikikutana na mdada mrembo mrembo najibebisha siku mbili tatu akiingia kwny line namtoa out akishaingia kwny mtanange wa kukaa sehem ya kutulia analiwa na nikishapita ndo hisia...
  15. Ak4700

    JamiiForums Tanzania TANK LA BOXER OLD MODEL

    Nashukuru kwa wazo mkuu
Back
Top Bottom