Kuhakikisha usimamizi mzuri, kufundisha mtoto kazi za kampuni ambaye ndiye atakayeiendeleza, na kusomea fani itakayomwezesha kusimamia kampuni kwa ufasaha, pia waliobaki kwenye familia wawe share holders wanufaike
Arsis hongera kwa uzi huu, nimekuwa nikiufatilia kwa makini na nimejifunza mengi sana ambayo sikuwa nayafahamu.
Ila nina shida ya kigugumizi kikali sana, na kazi yangu mara nyingi ni ya kuongea hivyo napata ugumu sana kuitekeleza, Je kwa kumshirikisha bakora naweza kupata dawa ya kuondoa tatizo...
We Acha tu, nimeamua nifanye vitu vingine mahaba nimewaachia wengine. Mpaka mimi na nafsi yangu tutakapomaliza tofauti zetu tukubaliane kutokukubaliana maana moyo wangu mara nyingi umenisaliti
Nimefanikiwa kung'oa jino lililokuwa linanisumbua, lilikuwa linaniuma naona kabisa kuwa hili jino halinitaki bado nikawa naling'ang'ania, mara nilizibe, mara nisukutue kwa chumvi ili mradi tafrani.
Kuna siku moja nikasema wewe jino basi tena. Hapa nilipo nateswa na maumivu ya kidonda kwenye fizi...
Napitia kipindi kigumu mno wiki hii nimepigwa kibuti, hapa nina mawazo ya kutosha, mpaka sasa sijalala na tangu niachwe nalala masaa mawili tu .
Najipa muda najua yatapita, nimesoma uzi wote mwanzo mpaka mwisho nashukuru nimepata kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.