Recent content by airwing

  1. airwing

    Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige

    Sio kweli? Muajili gani anampita boss wake kwa Kila kitu? Nguvu kimamlaka, Pesa na hata Heshima???
  2. airwing

    Mtaje Mnyama au Mdudu unayemuogopa

    Ulishawahi kuingia mziki wa NYUKI wewe. Mimi walishawahi ingia ndani ya gari naendesha na liko Kasi.. Nilikuwa nalia huku nimeshikilia kwa Nguvu usukani, Maumivu yake hayaelezeki. Nahisi Nyoka na nyoka ndo wabaya Sana. Maana ni ngumu kuwakimbia kwa haraka.
  3. airwing

    Nahitaji ajira ya ulinzi, UAE, Qatar au Oman

    Nenda TAESA ipo Jirani na Chuo Cha DIT posta dar es salaam.
  4. airwing

    Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

    Meridian bet hela ya mwisho kwny mkeka Kama sikosei Ni milioni na haizidi 20
  5. airwing

    "Wanawake Wenzako". Hii Ni Kauli Ya Dharau Sana Iliyotolewa Na Luhaga Mpina Kwa Amiri Jeshi Mkuu. Imeniudhi Sana

    Huku hakuna Doria Kama shahidi wa lissu Watu wanakupopoa tu kwa komenti za uwazi..😀😀
  6. airwing

    Nimepata Lishangazi la Kireno nimekuja kwao Portugal wamechoka kama bongo tu

    Yaani hapo ni sawa na kusema Mzungu kumpenda Mmasai. Huyo mzungu wako ndio Mmasai. Fumilia tu
  7. airwing

    Your best movie of all time ambayo hutochoka kuirudia..

    Merlin niliiangalia 2016 Nimeirudia tena mwaka huu baada ya kumaliza kuingalia miaka 11 iliyopita. Nimeangalia series zaidi ya 100 hadi sasa. Ila SNOWFALL ni zaidi ya zote.
  8. airwing

    Nahitaji passport ya kusafiria haraka iwezekanavyo

    Kama Una leseni ya Udereva, Nenda Kaombe passport Sema wewe ni DEREVA Wa IT. Utapata haraka bila kuambatanisha kielelezo vingi vya hitaji la passport yako. Na maswali yatakuwa mchache
  9. airwing

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Mkuu kama unataka kuwa Tajiri Kama ulivyosema ni kuangalia Sana upande Wa decentralised in Blockchain. Kikubwa husichoke kujifunza maana hatua zote ulizozitaja umepitia ila uzuri haujadumu na umejifunza mengi ikiwemo na Changamoto zake. Husisite kama huko Dar kwenda Pale Makumbusho MWANGA...
  10. airwing

    Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

    Ukiondoa uanasheri, urubani na alionao. Huyu Mtu anabakia kuwa Darasa la Saba aliyechangamka. Haifai na Afiti kokote. Na bila Ajira ya fani hiyo kwenye maisha hawezi kutoboa.
  11. airwing

    International School of Tanganyika watoto wanaenda shule kama Kawa ila Ems na Kayumba wote nyumbani, ndio mzazi ujue tofauti ya private na public

    Huu ni ukweli mchungu.. Tuache janja janja na Uongo Wa kuwaaminisha watoto wetu kuwa tunawapa Elimu Bora ili Hali wakimaliza tunangaika tena kuwarudisha Veta. Mtu ana pHD Au DEGREE hata kubadilisha bulb kunamshinda anaitwa fundi. Kitanda kinapiga kelele kwichii kwichii hawezi tengeneza Anita...
  12. airwing

    Afrika: Bara Tajiri kwa Rasilimali, lakini Maskini Kiuchumi

    Mataifa ya magharibi kusema yanakunyonya wewe Mwafrica ni Uongo... Maana hayajakushikia Mtutu Wa bunduki, wala kukufunga mnyororo miguuni na mikononi. Je, wanafanya Kazi Kwa kusainishana mikataba? Je, mikataba hiyo anayeisani na kuingia Makubaliano hayo ambayo wewe unaiona ni ya Unyonyaji ni...
  13. airwing

    Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

    Kutokana na facts Fulani Fulani, na mambo mengineyo ya kibiashara, na mambo ya mzawa as first priority na Ushirika na ubia alionao AZAM Na Serikali Kwa mambo mengi. Ni Ngumu Serikali kumnyanga hati miliki ya Maudhui hayo AZAM na kumpa DSTV. Hili Hali AZAM anahiitaji hiyo biashara na hayuko...
  14. airwing

    Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

    Umenielewa vibaya sijasema Kwamba Azam ndiye anayetoa kibali. Ila nilichomaanisha ni Kuwa Kwa Sasa aliyepewa kibali cha kuonesha League kuu Kwa Sasa ni AZAM. Swali lako lilikuwa Kwamba "Leo", na Mimi nikakujibu Kwa Leo haitowezekana Kwa kuwa AZAM ndiye aliyenakibali, alichopewa Kwa mkataba na...
  15. airwing

    Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

    Kwasasa itakuwa ni AZAM TV Maana wako kwenye mkataba. Kwa Uwekezaji alioufanya Azam na juhudi ambazo Azam anazifanya kwenye serikali Hii na Kodi anayolipa na gawio analotoa Hakuna wakumtoa.
Back
Top Bottom