Recent content by aikasiya

  1. A

    JamiiForums Tanzania WasafIrI wa mwanza-dar' Princess Muro sio gari lakupanda!!!

    Aksante mkuu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania WasafIrI wa mwanza-dar' Princess Muro sio gari lakupanda!!!

    Nimara yatatu sasa nimekuwa nakata tiketi zahili basi lakini siku yasafari wanafanya ndivyo sivyo!! Miezi minne nyuma nilikata tiketi ya mwanza to dar ilikuwa namsafirisha mtu' wakanicharge pesa ya basi luxury lakini asubuhi nikakuta gari tofauti' bovu, siti hazipo kwampangilio, simu yaofisi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania walimu wa zamu hammfanyi kazi yenu sawasawa

    Div five @work
  4. A

    JamiiForums Tanzania brand new samsung electronics kwa bei nzuri

    MIlango mIwIlI, Side by side fridge?? Bei
  5. A

    JamiiForums Tanzania Movie iliyowahi kukutoa machozi....

    Neria' enzi hizo!! Watoto namama yao walinitoa machozi..
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ujio wa PSquare - ITV Taarifa ya Habari.

    Habari zakumfaa mwanakijiji nizipi pia? Tani za pembe zandovu zakamatwa? Mijamaa kukamatwa namadawa yakulevya? Muwekezaji kapora ardhi yawanakijiji hawana pakulIma? Wafanyakazi kugoma wanadai maslahi zaidi' ........e.t.c Bora kuburudika sometimes!!!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa maaskofu Tanzania: Gwajima tajiri no.1

    Ushetani tu hamna lolote!!! Eti mchungaji..... My foot
  8. A

    JamiiForums Tanzania kumbe mzee sepetu alikuwa mkristo??

    Nimkristo' mama ndie muislamu..
  9. A

    JamiiForums Tanzania Majambazi wapora mamilioni Moshi - baada ya wateja kuzichukua standard chartered

    Kamata fursa' twende zetu!!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya wake wengi si haki kwa Wazungu, kwa nini?

    Mkuu Kunajamii yawazungu wanahuo utamaduni pia' tena niwakristo nawanashiriki kweny ibada' kuna kipindi kinarushwa national geographic channel na tlc' wanaeleza kuhusu maisha yao... Kama sikosei kipindi kinaitwa 'meet the polygamist..
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Nimejifungua kwa operation, naomba njia ninazoweza tumia ili tumbo lirudi.. ninamwezi sasa kidonda kimepona! Ila tumbo bado kubwa..
  12. A

    JamiiForums Tanzania O'level

    Nzuri kwa performance' Mimi me..
  13. A

    JamiiForums Tanzania O'level

    Wadau Shule gani nzuri ya private kanda yaziwa'? Hata zaseminary '' Christian'' Kwa o'level.....
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Masogange aliouandika ukurasa wa twitter

    Akirudi wampe nabendera yanchi basi' si balozi wao!! Amewawakilisha vema... Poor tz..
Back
Top Bottom