Ujio wa PSquare - ITV Taarifa ya Habari.

Ujio wa PSquare - ITV Taarifa ya Habari.

Heshima kwenu wakuu!

Leo wakati wa taarifa ya habari ya saa moja ITV habari ya kwanza ilikuwa kuhusu kuwasili nchini kwa wanamuziki wa kikundi cha PSquare. Mimi nilishtuka kidogo, kwa kuwa tumezoea kusikia habari muhimu kitaifa zikipewa kipaumbele wakati wa taarifa za habari.

Sasa ujio wa hawa wasanii una umuhimu gani kitaifa? Kwa wananchi wa kule vijijini ambao hawana hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku hii taarifa ina umuhimu gani? Hata kwa wananchi walio nje ya Dar es Salaam ambao hawategemei kuhudhuria tamasha la wanamuziki hao hizi habari zina manufaa gani?

Naomba michango yenu kuhusu hili wadau.

Its a big business, kesho hiyo tax, bajaji zitafanya sana biashara, watu watajipatia vipato, Hotel walibookiwa hao jamaa na crew yao zimapata faida, Pombe zitakazouzwa kesho ni balaa. bila kusahau kuwa makampuni ya pombe ni moja kati ya makampuni yanayoongoza kwa ulipaji wa kodi. kodi ambayo inamsaidia huyo mwananchi wa kijijini kwa kumpatia ruzuku ya mbolea.

By the way unashangaa kwamba habari kuwekwa ktk habari za kitaifa?? kwani uwanja wa Julius nyerere international airport upo wapi?? Leaders club ipo wapi?? kama vyote vipo dar, ndani ya tanzania, basi ni halali kwa habari kuwekwa kama habari ya kitaifa. kwani aliesema habari za siasa tu, ndo ziwekwe hapo ni nani??
 
Heshima kwenu wakuu!

Leo wakati wa taarifa ya habari ya saa moja ITV habari ya kwanza ilikuwa kuhusu kuwasili nchini kwa wanamuziki wa kikundi cha PSquare. Mimi nilishtuka kidogo, kwa kuwa tumezoea kusikia habari muhimu kitaifa zikipewa kipaumbele wakati wa taarifa za habari.

Sasa ujio wa hawa wasanii una umuhimu gani kitaifa? Kwa wananchi wa kule vijijini ambao hawana hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku hii taarifa ina umuhimu gani? Hata kwa wananchi walio nje ya Dar es Salaam ambao hawategemei kuhudhuria tamasha la wanamuziki hao hizi habari zina manufaa gani?

Naomba michango yenu kuhusu hili wadau.
lazima wewe utakuwa ni Ruge
 
Jamani mm nilitaka kupita na zangu lkn nikaona si busara kutotoa hata hili dogo nilijualo! Ukituma maombi ya kuanzisha TV ama Radio station pale TCRA, una-mention madhumuni ya hicho kituo chako, kwa mf:

  1. Radio Maria (dini-ukristo)
  2. Radio Tumaini (dini-ukristo)
  3. Radio Imani (dini-uislam)
  4. Radio Sauti ya Qur-an (dini-uislam)
  5. Clouds Fm (Entertainment)
  6. Uhuru Fm (Politics - CCM)
  7. ITV (business)
  8. n.k.
Kwa maana hiyo hv vituo havipaswi kulaumiwa kwa kulaumiwa pale wanapozipa kisogo habari ama mambo ya kitaifa kwa kuwa hawajasaliwa kwayo, hata TCRA wanajua, na ndio maana huwa hz Radio zinafungiwa pale zinapojihusisha na mambo mengine mf Siasa wkt si jukumu lao!

Bado nipo jamani!
 
hili ni jambo la kawida sana mkuu,.

Tatizo tumeshajenga mazoea kwamba habari za kitaifa kusomwa kwanza,..

Huu ni mfumo tuliouzoea mkuu,.

Hakuna cha kushangaa hapa kwanza ITV ni Independent Television kwa hiyo wanafanya kile ambacho kina maslahi kwao kwa kuzingatia kanuni za kiuandishi wa habari na kufuata taratibu kutoka mamlaka ya mawasiliano TCRA,.

Wanao uhuru wa kufanya walichofanya,...

Hatukatai uhuru wanao lkn kuna vitu vinakuwa na formula yake ambayo ni Universal ili kukifanya kionekane kinakidhi matakwa ya jamii husika. Kimsingi habari za michezo hazipaswi kupewa umuhimu wa kwanza juu ya habari zingine. Huwezi kuandika barua kwa kuanza na signature then ndo mambo mengine yafuate. ITV hapo walichemka, hata kama wana uhuru au haki ya kufanya hivyo. Hata wewe una haki au uhuru wa kula bila kunawa. Lkn je ndo ustaarabu?????
 
Acha kuwa antisocial na too local! Psquare ni wasanii maarufu Afrika hivyo watanzania wana haki pia ya kujua ujio wao.
 
mjinga wewe hujui kuwa hiyo ni biashara?! habari za kitaifa zipo Tv uhuru hata TBC wenyewe sometimes wanaoparate kibiashara. shangaa mambo mengine

Umejionesha jinsi usivyo na upeo !
Sio lazima kuchangia kila kitu.
 
Heshima kwenu wakuu!

Leo wakati wa taarifa ya habari ya saa moja ITV habari ya kwanza
ilikuwa kuhusu kuwasili nchini kwa wanamuziki wa kikundi cha PSquare.
Mimi nilishtuka kidogo, kwa kuwa tumezoea kusikia habari muhimu kitaifa
zikipewa kipaumbele wakati wa taarifa za habari.

Sasa ujio wa hawa wasanii una umuhimu gani kitaifa? Kwa wananchi wa
kule vijijini ambao hawana hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku hii
taarifa ina umuhimu gani? Hata kwa wananchi walio nje ya Dar es Salaam
ambao hawategemei kuhudhuria tamasha la wanamuziki hao hizi habari zina
manufaa gani?

Naomba michango yenu kuhusu hili wadau.

mkuu.. wao ndio wamewaleta, wamewekeza pesa zao hapo lazima zirudi. so kutangaza ni muhimu. THIS IS BUSINESS
 
Jamani mm nilitaka kupita na zangu lkn nikaona si busara kutotoa hata hili dogo nilijualo! Ukituma maombi ya kuanzisha TV ama Radio station pale TCRA, una-mention madhumuni ya hicho kituo chako, kwa mf:

  1. Radio Maria (dini-ukristo)
  2. Radio Tumaini (dini-ukristo)
  3. Radio Imani (dini-uislam)
  4. Radio Sauti ya Qur-an (dini-uislam)
  5. Clouds Fm (Entertainment)
  6. Uhuru Fm (Politics - CCM)
  7. ITV (business)
  8. n.k.
Kwa maana hiyo hv vituo havipaswi kulaumiwa kwa kulaumiwa pale wanapozipa kisogo habari ama mambo ya kitaifa kwa kuwa hawajasaliwa kwayo, hata TCRA wanajua, na ndio maana huwa hz Radio zinafungiwa pale zinapojihusisha na mambo mengine mf Siasa wkt si jukumu lao!

Bado nipo jamani!

asante kwa ufafanuzi ila umeninyong'onyesha.!!

kumbe mambo ya siasa huwa wanavamia tu sio fani yao.!!
 
Kwa mara ya kwanza for ma life nimeona Katavi umechangia kwa mistari zaidi ya mitatu(aka kwa maneno mengi zaidi) ...duh kumbe unaweza eeh??

Katavi huwa anakuwa short and clear sijui leo thread imemgusa

Hahahahaaah!! Sizinga ukisoma katikati ya mistari utaona namna nilivyojichanganya kufikisha ujumbe. Heaven on Earth mada ilinigusa lakini nikashindwa namna ya kufikisha ujumbe katika mfumo niliouzoea, ikabidi nimwage tu mapointi ayachambue mwenyewe...
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu wakuu!

Leo wakati wa taarifa ya habari ya saa moja ITV habari ya kwanza ilikuwa kuhusu kuwasili nchini kwa wanamuziki wa kikundi cha PSquare. Mimi nilishtuka kidogo, kwa kuwa tumezoea kusikia habari muhimu kitaifa zikipewa kipaumbele wakati wa taarifa za habari.

Sasa ujio wa hawa wasanii una umuhimu gani kitaifa? Kwa wananchi wa kule vijijini ambao hawana hata uhakika wa mlo mmoja kwa siku hii taarifa ina umuhimu gani? Hata kwa wananchi walio nje ya Dar es Salaam ambao hawategemei kuhudhuria tamasha la wanamuziki hao hizi habari zina manufaa gani?

Naomba michango yenu kuhusu hili wadau.

sijaamin bado kama kuna mtu mwenye fitna kias hiki shortly we mshamba
 
Habari zakumfaa mwanakijiji nizipi pia?
Tani za pembe zandovu zakamatwa? Mijamaa kukamatwa namadawa yakulevya?
Muwekezaji kapora ardhi yawanakijiji hawana pakulIma?
Wafanyakazi kugoma wanadai maslahi zaidi' ........e.t.c
Bora kuburudika sometimes!!!
 
Back
Top Bottom