Recent content by Aidan Kabakamas

  1. Aidan Kabakamas

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wakuu nahitaji mwalimu wa kubadilishana naye kituo. Mimi niende Mwanza na yeye aende Lindi. Ualimu wa Secondary masomo ya sanaa (Kiswahili na English)
  2. Aidan Kabakamas

    Rais Samia ana mkosi?

    Ni mabadiliko ya tabia nchi. Tunza mazingira
  3. Aidan Kabakamas

    Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

    Leo Simba anakufa kwa 2-1. Yaani Simba 1-2 Yanga. Tutaona
  4. Aidan Kabakamas

    Kiko si cha Mabush Stars

    Madenge na Rodirofa wamezeeka sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Aidan Kabakamas

    Naomba ushahuri wenu tafadhali

    Mm s wa namna hiyo. Nimewsiliana na wazee wangu (nakaa mbali na wazazi), nimewambia kusitisha mipango ya harusi kwa kuwa kwa wakati huu fedha imenichenga.
  6. Aidan Kabakamas

    Naomba ushahuri wenu tafadhali

    Napitia wakati mgumu kama huo
  7. Aidan Kabakamas

    Naomba ushahuri wenu tafadhali

    Nashukuru kaka kwa ushahuri wako mwema. Ninaomba kulichukua hili, na mrejesho nitakupa. Asante
  8. Aidan Kabakamas

    Naomba ushahuri wenu tafadhali

    Mkuu sijafumaniwa wala kumpa mimba. Nimetumia utaratibu wa mila na desturi wa kuposa kabisa
  9. Aidan Kabakamas

    Naomba ushahuri wenu tafadhali

    Ninalifanyia kazi asante
  10. Aidan Kabakamas

    Naomba ushahuri wenu tafadhali

    Hii n coincidence. Sijashindwa kulipa kodi ya nyumaba, nimesema nina changamoto kwa wakati huu.
  11. Aidan Kabakamas

    Naomba ushahuri wenu tafadhali

    Inawezekana kweli hawanitaki? Mbona na muda wa ndoa wametupangia kama hawanitaki?
  12. Aidan Kabakamas

    Naomba ushahuri wenu tafadhali

    Hahahaha. Wanaume tunapitia changamoto wakati mwingine. Nimelileta kwenu mnisaidie mawazo. Bado nina muda wa maamzi. Nimemweleza baba yangu mzazi kuwa majibu ya ndoa nitayatoa muda s mrefu
  13. Aidan Kabakamas

    Naomba ushahuri wenu tafadhali

    Mnyambo wa Karagwe
  14. Aidan Kabakamas

    Naomba ushahuri wenu tafadhali

    Nalifanyia kazi wazo hili asante
Back
Top Bottom