Kiko si cha Mabush Stars

Kiko si cha Mabush Stars

Enzi izo primary daaaaa ukijaladia daftar gazeti la ivo hukai nalo masaa linafumuliwa kwenda kubandika geto
 
View attachment 1109083

1. Kipepe
2. Kapelo
3. Mgosi Agosingw
4. Kobelo
5. Masharubu
6. Mzee Meko
7. Nchumali
8. .........
9. Madenge
10. .....
11. Ndondocha

Ndondocha sidhani kama alikuwa huko. Kwa navokumbuka Ndondocha alikuwa star kwenye jarida la TABASAMU sio SANI labda kama wanafanana majina.

Alafu angalia isije kuwa umemiksi mastar wa SANI na BONGO.
 
Ndondocha sidhani kama alikuwa huko. Kwa navokumbuka Ndondocha alikuwa star kwenye jarida la TABASAMU sio SANI labda kama wanafanana majina.

Alafu angalia isije kuwa umemiksi mastar wa SANI na BONGO.
NA IKUMBUKWE KUWA #NDONDOCHA NI BABA WA #TOTO_KIJIWE_STIKI.
 
Braza angu ananiambia mchoraji wa haya majairida alikua best ake sana marehem John kaduma!
Na mwingine ni Fortunatus Ndilla!!
Sijawahi kuwasikia hawa watu popote pale.
 
Nakumbuka kunakipind mapun'go alisajiliwa uarabuni, akapewa viatu akavurunda badae akavua akatisha sana.....!

Sasa jion Boss wa Timu akaja kumuomba taraabu aaaaaaah akachafukwa!

Uwanjan jamaa walikua na maneno ya matan vibaya mno!
 
Madenge na Rodirofa wamezeeka sasa
IMG_20190529_075643.jpeg
 
Basi utotoni hao bush star nikajua ndio wanapatikana mapori yaliyoko mjini na wale wengine tunaweza pishana nao posta mle na kariakoo
our imagination was real ndio maana vitu vilikuwa na uhalisia sana tofauti nasasa unajua kabisa hapa nadanganywa
hakuna vyombo vya habari vinaaminika hata BBC kwa haiaminiki tena kwakweli
now days habari ya ukweli iliyopatikana na mtu binafsi baasi, redion na tv ni soga tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom