Naomba ushahuri wenu tafadhali

Naomba ushahuri wenu tafadhali

Wamekutajia bei kubwa io kwa makusudi wanajua huna uwezo hivyo hawakutaki jiongeze hummmmae
 
Chai nyingine hazina logic kabisa

Harusi ndani ya mwezi mmoja, mahari milioni 6, anayetakiwa kutoa ameshindwa kodi ya nyumba

Mi napita tu
 
Hapa tatizo sio mahari kuwa million 6 hali halisi wazee hawamtaki huyu jamaa kuwa na mtoto wao. Ndio maana walimpa hio 6 million, kuna chali mmoja aliambiwa mahari million 10 mtoto shombe shombe ndio bi harusi. Jamaa baharia akakubali wazee wakasema lakini mpaka amalize kusoma ndio umuowe. Jamaa akakubali baada ya mtoto kumaliza shule wazee wanamwambia jamaa mtoto kishatolewa mahari na mtu mwengine. Maisha yote husema mwanamke ndie anae furahia ndoa na mwanaume hana furaha ya ndoa. Ndio kama huyu mchumba anagawa kadi za harusi yeye kichwa kinamuuma hana mahari sio mahari tu hata kodi hana. Wangu mie alitaka million 25 na gari juu mpaka leo nimemblock mama***e

Ndukiiiii
Akajiwoweee...
 
Fanya unachoweza ww ndo unajua pocket yako ina sh ngap kaka na sio wao
Wanaume mnashindwa wapi mmmm
 
Konki huwa hatutoi mahari katika kuoa,huwa tunabeba bure.Nakushauri,binadamu auzwi.....cha muhimu ni kupendana na kila mmoja anamuhitaji mwenzake.
 
Mnao muuliza kama huyo dada ni bikra nadhani mna matatizo. Na kwa jinsi alivyojieleza huenda hata kuoneshwa tu aone kama anayetaka kumuoa ni me au ke bado hajawahi kuoneshwa. Zamani tulikuwa tunamwita gheto tunamwambia akae kona ile ashushe kiy=tasa tuone tu kwa macho kama kweli ni ke. Huyu hajaruhusiwa kuona ndo maana wazee wakamkomalia mahari ya juu. 6m.
Ushauri;
Wewe sasa ndio umeshika mpini. Mdada keshagawa mikadi yake huko na huko. Usipunguze wala kuongeza siku ya harusi. Mwite mdada, mpe makavu live. Mwambie aende kule kwao awaambie;
1. Mahari italetwa baada ya ndoa na sio haraka kwani wanaenda kukaa pamoja walime hadi walipe 6 M.
2. Ukumbi wazazi wake wamlipie huyo mdada kwani vyakula na vinywaji vinatolewa na mumewe.
3. Send off itoke kwa wajomba na mashangazi kwa sababu, amempata kijana anayempenda na kumheshimu
Asante kwa ushahuri....binti nilishawahi kumjua
 
Nalifanyia kazi wazo hili asante

Hahahaha. Wanaume tunapitia changamoto wakati mwingine. Nimelileta kwenu mnisaidie mawazo. Bado nina muda wa maamzi. Nimemweleza baba yangu mzazi kuwa majibu ya ndoa nitayatoa muda s mrefu
Hapa tatizo sio mahari kuwa million 6 hali halisi wazee hawamtaki huyu jamaa kuwa na mtoto wao. Ndio maana walimpa hio 6 million, kuna chali mmoja aliambiwa mahari million 10 mtoto shombe shombe ndio bi harusi. Jamaa baharia akakubali wazee wakasema lakini mpaka amalize kusoma ndio umuowe. Jamaa akakubali baada ya mtoto kumaliza shule wazee wanamwambia jamaa mtoto kishatolewa mahari na mtu mwengine. Maisha yote husema mwanamke ndie anae furahia ndoa na mwanaume hana furaha ya ndoa. Ndio kama huyu mchumba anagawa kadi za harusi yeye kichwa kinamuuma hana mahari sio mahari tu hata kodi hana. Wangu mie alitaka million 25 na gari juu mpaka leo nimemblock mama***e

Ndukiiiii
 
Unatozwa mahari milioni sita? na mengine yote uliyoyaelezea hapo, ushauri wangu ni kuwa jihadhari, kama wewe sio zwazwa, unaelekea kuwa zwazwa, kuwa makini unaoa au unaolewa mkuu?

By the way huyo mchumba anayesababisha utozwe milioni sita, ni bikira? Mwanamke na familia yake wameshakuzidi akili kabla ya mchezo, utaumia sana wewe.
Hata kama ni bikira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom