Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,503
- 3,514
6Mil. Vipi watakupa na gunia la mkaa na mahindi ya kula mtoto wao?
Mkuu haya mambo bhana sometimes inabidi tujifunze kitu, hawa viumbe kwasasa wako interested sana na kitu kinaitwa ndoa, yaani ukijikuta umeropoka ndoa ni lazima ujiandae kisaikolojia....
Hapo mkuu mimi naona kaa na mwenzako ongea naye naumueleze hali halisi iliyopo na uliyonayo kwasasa kwa maana ukikaa kimya itakuumiza mno...
Mimi nafikiri upande wa mwanamke kama kweli wanathamini upendo ulionao kwa mtoto wao wangeikubali hiyo 3Mil. Then hiyo nyingine uende kama ni msikitini au kanisani mbariki ndoa yenu mkija nyumbani hiyo 2.5Mil muanzie maisha ya ndoa just simple....
Unless labda hao ndugu baada ya kupitishiwa kadi ya harusi kama makusanyo yatakuwa more than 15Mil. Hapo labda