Recent content by ahmedeen

  1. A

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa kikiristo wachoma moto kituo cha kiislam Ujerumani

    . WHO IS TERORIST? Who is terorist
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hizi Bombadier ni mitumba? mbona mapema tu zishaanza kupata hitilafu

    Ni haki ya mwananchi kujua na kusema coz ni kodi zilizolipwa na wananchi ndio hata hizo bombadier zikanunuliwa ni haki mwana nchi kujua kodi tunazotoa je zinafanya mambo husika
  3. A

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali, tunaomba hizi kodi za 30,000 za traffic mzifute jamani, ni kero na haziko kisheria

    Road licence kwa mfano gari imeharibu spea ikawa haipatikani bongo au umekwama kiuchumi ukapaki gari ika kaa mwaka mmoja bila kuitumia lazima uilipie na wakati hilo gari halikutoka ndani mwaka mzima je nayo ni halali...au kuumizana tu
  4. A

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Wacha nijaribu kuutafuta usingizi
  5. A

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Yap nipo bed now sina usingizi wewe je
  6. A

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Tupo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi balozi Wa Urusi alivouliwa

    Huyu askari alikua hayupo zamu ila bado alikua kwenye system ila kafanya tukio kutokana ana chuki zake binafsi na warusi kuhusu mambo ya syria
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ni mzuri nashindwa kumuacha na hajui kuwa nimeoa, nifanyeje?

    Kama wewe muislamu rukhsa kuowa wanawake wanne pia umeisha mtoa bikra binti wa watu halafu umtelekeze jua ukimuacha na binti kila akiziniwa unapasenti zako hapo za dhambi coz wewe ndio umemuonjesha asali ....kuwa mwanaume mwenye uamuzi wa kiume
  9. A

    JamiiForums Tanzania Serekali tunaomba ulinzi Mwanza, matukio ya ujambazi yamezidi

    Usiingize ujambazi na mambo ya siasa au vyama hapa tunaongelea swala la matukio ya ujambazi sio ccm wala ukawa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Serekali tunaomba ulinzi Mwanza, matukio ya ujambazi yamezidi

    Lask week kafa mama wa kihindi kapigwa risasi ktk duka la M-pesa juzi mchina kapigwa risasi na mdogo wake kapigwa mapanga leo hii tukio limetokea mchana hapo maeneo ya mwanza hotel muhindi na mbongo mwenzetu wamejeruhiwa na risasi nchi inakwenda wapi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha David Beckham na maneno 'On behalf of myself and...'

    Lugha hii ni big deal coz ni international language na ndio maana hata ktk masomo yetu shuleni lina kuwepo
  12. A

    JamiiForums Tanzania Serekali tunaomba ulinzi Mwanza, matukio ya ujambazi yamezidi

    Ndani ya wiki moja na siku kazaa matokeo ya ujambazi yana fika matano au manne kama sikosei je walinda usalama hawapo ktk jiji la mwanza
  13. A

    JamiiForums Tanzania Najichukia kwa hili tatizo langu la ngozi, nimekosa mwenza

    Nenda hospitali kacheki full blood picture pia tafuta special list doctor wa ngozi muelezee matatizo yako anaweza kukupa dawa na ukapona
Back
Top Bottom