Nimeamua kumfuata shetani, kwakuwa Mungu sijawahi kumwona na wafusi wake ni wanafiki sana

Rofa

Member
Sep 19, 2015
79
150
Walokole wanadai wanamwomba Yesu awapelekee naombi yao kwa Mungu mwenyezi.Na wanapiga kelele na kunena kama vichaa,kiasi cha kuwaombea kifo.
Kwakuwa shetani wanayetwambia yupo na wala hajawai kuonekana na wala hana mafundisho yake naomba niwe mfuasi wake maana hana kelele hajawai kuitisha mikutano.Karibuni tujiunge tutasonga mbele sana.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,300
2,000

Shetani ni sifa

Wakristo wanadai Yesu (ambae mwenyewe anasema yeye ni mtu) kuwa ndiyo Mungu wao, tena wamewekewa picha ya mzungu, basi wengine mpaka wanaiabudu.
 
Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,793
2,000
Shetani ni father of deceiver...n fundi wa kudanganya ili akuchote mkafe wote hajawahi kuwa na huruma hata chembe na kiumbe chochote kile.

Ndo maana hata Yesu halijaribiwa na shetani kwa kuaidiwa kupewa Dunia nzima kwa kigezo cha kumtosa mungu, bahati nzuri Yesu anamjua shetani vizuri.

Mleta mada unataka kuwa royal opposition wa master of the people and universe..God...the most high...! Hatari inayokukabili ni zaidi ya hatari. Na pia ni bora kuamini mungu yupo halafu ukamkuta kuliko kuamini hayupo halafu ukamkuta..ist the potential disaster.
 
MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
4,590
2,000
Mungu "mwenye enzi" amekuumba wewe kwa mapenzi yake, ila uamuzi wa kumuamini na kushika amri zake au kumfuata shetani ni wa kwako. Si vyema sana kuchagulia watu maamuzi ila nina amini kutokana na pita pita zako za hapa na pale umeshawahi kufahamu au kujua hatma ya kumfuata shetani na mambo yake na kama bado basi si vibaya ukaperuzi vitabu mbali mbali na machapisho mbali mbali ili upate huo uelewa na ufahamu.
 
ahmedeen

Member
Nov 7, 2016
17
45
Walokole wanadai wanamwomba Yesu awapelekee naombi yao kwa Mungu mwenyezi.Na wanapiga kelele na kunena kama vichaa,kiasi cha kuwaombea kifo.
Kwakuwa shetani wanayetwambia yupo na wala hajawai kuonekana na wala hana mafundisho yake naomba niwe mfuasi wake maana hana kelele hajawai kuitisha mikutano.Karibuni tujiunge tutasonga mbele sana.
Shetani ulishamuona?
 
Luggy

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
2,921
2,000
Shetani ni sifa ewe punguani.

Wakristo wanadai Yesu (ambae mwenyewe anasema yeye ni mtu) kuwa ndiyo Mungu wao, tena wamewekewa picha ya mzungu, basi wengine mpaka wanaiabudu.
wewe inakuathiri vipi hiyo?
 
legend Babushka

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
491
1,000
Umechangiwa vijisenti kununua kijisimu ukafundishwa kuingia JF ndo ukandanganyika umaarufu unatafutwa hivi???
Sasa huku hatukushauri uwe tu mfuasi wa shetani, ila ukiweza uwe shetani mwenyew.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
6,233
2,000
Unafanya usilolijua wewe? 100% nina uhakika upo wrong na utajutia uamuzi wako muda si muda. Kwa kitambo kidogo utaona kama umefanya jema lakini ukisha ingia kwenye hatua zinazofuata, shetani atakukamata pabaya na utatafuta namna ya kutoka huko, kama utakumbuka njia pekee: ita jina la YESU kwa dhati nawe utaokoka vinginevyo utapoteza nafsi yako utumwani. Yesu akusaidie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom