Recent content by Ahmad Mtunda

  1. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zamu yetu vijana kuamua mustakabali wa Taifa ifikapo Oktoba 2020

    Umuhimu wa vijana kupiga kura Kupiga kura. Neno linalofafanuliwa kama " maoni au upendeleo." Dhana inayojulikana na Watanzania wote kwa kuzingatia mambo yetu mengi juu ya nchi hii huamuliwa na uchaguzi. Rais, wabunge na madiwani wote wanapigiwa kura na watu ili kuweza kupata nafasi ya...
  2. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania CCM waanza kufunga virago Zanzibar, waihofia ACT-Wazalendo

    Wazanzibar awamu hii sijui kama watakubali uhuni wa ccm uliofanywa katika chaguzi zote zilizopita
  3. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Dar es Salaam ni muda sasa wa kuandamana mpaka Ikulu kupinga mauaji ya mwanafunzi mwenzenu

    even my self I wonder why up to this time students governments are silence. Uwoga umewajaa sana na matokeo yake yatajulikana
  4. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Taifa: Simba SC 1-0 Azam FC, ligi kuu soka Tanzania bara

    Yanga mnahaha.....ha ha haaaaaaa
  5. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania Stamigold to be audited by PCCB

    Now what are the duties of CAG? PCCB supposed to work there if corruption is there.
  6. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania Mbowe amesema angekuwa na roho nyepesi na mpenda fedha angekuwa ameshahama upinzani

    kwani ukihamia CCM Utendaji wako unapungua? Jibu ni hapana,pesa kwanza ndio suala la msingi maana ndio kila kitu kwa zama hizi na tangu.
  7. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    True fact Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajizatiti ngazi ya Uongozi katika Vyuo Vikuu mbalimbali nchini

    Ongeza hapo Mbeya University of science and technology no Hamis chacha Mapesa, Na DMI no Boniface Macheta.
  9. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania ACACIA: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

    Wanajaribu kuwapooza waajiri wao ila kwa trend hii ya mh.Raid,watalipa tu. Hakuna namna.
  10. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi William TV: Dunia macho na maskio yote Dar, ni tukio la kihistoria

    Tunamsubiri aje. Changamoto zitakuwepo kwa waliopo.
  11. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania Pata simu kwa bei poa

    Mods mmelala?
  12. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi video za Millard Ayo ziko clear kuliko TBC?

    Ndio maana hata ukiangakia sport pesa super cup inayorushwa na ITV no kama enzi zile. We have to shift
  13. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania Kama kweli My umeruhusu wimbo wa Nay,ruhusu na "am sorry JK" ya Nikki mbishi

    Habari wanajamvi Ukiusikiliza wimbo wa Nikki Mbishi unaoitwa "am sorry JK" ambao BASATA waliufungia na kumpa onyo Kali Nikki Mbishi na ukiusikiliza wimbo wa "wapo" wa Msanii Ney wa Mitego ambao pia BASATA wameufungia(ila utapigwa kwa idhini ya Mkulu) utajifunza kitu. Pamoja na maudhui ya...
  14. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania CCM: Kinana hataongea na wandishi wa habari, yupo nje ya Nchi

    Huu ni mpasuko maana kuna watu walitumia nguvu kubwa na muda kukijenga,kukitetea chama cha mapinduzi sasa wanaona kinakufa kizembe.
  15. Ahmad Mtunda

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Mbona kama kizungumkuti? Si ajabu tukaambiwa yule aliyetoa bastola alikuwa jambazi wala hahusiki na watu wa usalama.
Back
Top Bottom