Recent content by Ahjumma

  1. Ahjumma

    TANZIA Wakili Geofrey Noah afariki dunia kwa tatizo la Nimonia

    Mbeya ving'ora vya wagonjwa vinapita balaa
  2. Ahjumma

    Wadada msipende kulamba koni, hamtoolewa kamwe

    Ila si wanasema sperm hazitakiwi kupita kwenye koo unaweza pata magonjwa wale wataalamu mnasemaje?
  3. Ahjumma

    Ukweli usemwe: Nandy ni msanii namba moja wa kike ambaye tumebarikiwa kwa sasa

    Hiyo sukari mnayoisifia mbona wimbo ni wa kawaida sana mi sijaupenda kabisa labda kwa sababu huwa sisikilizi radio na kuangalia tv ningeuzoea labda
  4. Ahjumma

    Msidharau BIMA za watoto wapendwa, ni muhimu sana kwa watoto zetu

    Hiyo bima tunakatia hospital au wapi?
  5. Ahjumma

    Vodacom sasa hii imezidi, tunaomba msitishe huu ujumbe wenu ambao unachukua zaidi ya sekunde kumi kuhusu uhakiki wa namba

    Msg ndo usiseme ile ya umefikia kikomo cha matumizi wanatuma hata tisa na wakati bundle bado lipo yaani wanakera balaa
  6. Ahjumma

    Hawa ndio Members wa JF wenye contents katika nyanja mbalimbali

    Mbona mmemsahau bujibuji huwa nawaza sijui ni mtu wa namna gani maana comment zake tu zinafurahisha
  7. Ahjumma

    Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

    Mi huwa napima shahawa tu baada ya siku tatu nikiona sizielewi na chakula anakula vizuri najua katoka kupiga gemu
  8. Ahjumma

    Kilimo cha mpunga Tanzania

    Mpunga sikuhizi kyela hakuna kitu ns usangu wanaweka mbolea na madawa mpunga mzuri ni wa kamsamba rukwa huo ndo super kwa sasa ni mtamu na unanukia balaa na kule hawaruhusu mbolea mashambani mwao
  9. Ahjumma

    Bei ya mafuta ya kupikia inawaondoa mamalishe barabarani, Serikali ichukue hatua za haraka

    Mama ntilie wabadilishe mapishi badala ya maandazi wauze skonzi na mabanzi plus mikate ya ufuta, vibibi au watengeneze maandazi ya kupambia ambayo hayatumii mafuta mengi
  10. Ahjumma

    Kulala na mnyama (Paka) kitanda kimoja kunaweza leta tatizo la kiafya?

    Afu kingine wanaume wanaopenda paka na vimbwa huwa wanajua kupenda haswa na ni wastaarabu sana nawaona kaka zangu wapenda paka walivyo kwa wenzi wao
  11. Ahjumma

    Kulala na mnyama (Paka) kitanda kimoja kunaweza leta tatizo la kiafya?

    Mimi nimeishi na paka na kulala nao zaidi ya miaka 20 sijawahi umwa kikohozi kwa ajili ya manyoya yao afu ukiona paka anajikuna sana mnyunyuzie dawa ya viroboto ndo huwa vinawasumbua na akiwa mdogo mpe kidonge cha minyoo atakuwa vizuri tu
  12. Ahjumma

    TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

    Afu vumbi la kongo linafanya mashine inakuwa ngumu haswa na mishipa kutokeza yaani baada ya raha ni karaha hapo ujiandae kupata na vidonda ukeni maana masaa mawili mtu hakojoi mpaka kuja kumaliza show nzima unaumwa siku tatu
  13. Ahjumma

    TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

    Watumia viagra na vumbi la kongo wapo wengi tu wengine hata miaka 40 hawajafika, wanaume wengi tu 36 nguvu za kiume hamna mkienda bao moja tu hoi kulitafuta la pili na shughuli haswa embu kuleni vizuri na mfanye mazoezi
  14. Ahjumma

    TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

    Saizi tutakuwa tunakwepa vizee japo kuhonga vipo vizuri nimekumbuka mmoja hata kutembea ilikuwa shughuli afu alikuwa na kitambi mwenyewe anahema juuu juu 😀😀😀
Back
Top Bottom