Recent content by Agustini

  1. Agustini

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Ushindi una nukia chadema mpo juu.
  2. Agustini

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Maisha tena baada ya kifo

    ??? du
  3. Agustini

    JamiiForums Tanzania Tamko la Al-Shabaab kufuatia mashambulizi ya kigaidi Garissa

    Sawa wakiporo mosha hiyo misitu itakuwa siyo suluisho la kutokomeza ugaidi hapa ni ulizi mkali kwa sababu magaidi wengine wana ishi mitaani siyo msituni
  4. Agustini

    JamiiForums Tanzania TANESCO bado hawajashusha bei ya umeme kwa mlaji

    Ninadhani wanataka kupunguza deni walilo nalo kwasababu wakishusha itakula kwao itafika siku tuta kosa umeme ______ Tunadaiwa sana ....Naipenda ________ yangu
  5. Agustini

    JamiiForums Tanzania Naomba mtu yeyote anaejua jinsi ya kutengeneza Mifuko ya Viroba

    Naomba msaada jinsi ya kutengeneza mifuko ya viroba na nitawezaje kupata mashine ya kutengenezea naomba mawazo yenu viroba kama cha sembe
  6. Agustini

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba msaada kwa hili

    Nime kupata
  7. Agustini

    JamiiForums Tanzania Nataka kujenga ghorofa 5, itanigharimu Milioni ngapi?

    Nataka nijenge Five ghorofa sijajua itanigharimu Milioni ngapi za Kitanzania!
  8. Agustini

    JamiiForums Tanzania Naomba wazo katika Ujasiriamali

    Ujasiri amari naomba wazo kuanza biashara ndogo ndogo zilizo azitumii mda mwingi
  9. Agustini

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA wajiandae kuingia msituni

    Nimesoma yote yalio andikwa nime baki na ???????????????????????????? paka nimechoka tonapo enda sijuwi ni digitali or What
  10. Agustini

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu na ombeni msaada kwa hili

    Habari wakuu eti kuna mafanikiyo kwa mtu aliye maliza form 4 miaka 3 iliyopita kurudia mtihani kwa kuingia form 4 mwaka huu na kufanya mtihani or anatakiwa arudi form 3 tena. Naombeni mawazo yenu.
  11. Agustini

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba msaada kwa hili

    Habari wakuu eti kuna mafanikiyo kwa mtu aliye maliza form 4 miaka 3 iliyopita kurudia mtihani kwa kuingia form 4 mwaka huu na kufanya mtihani or anatakiwa arudi form 3 tena Naombeni mawazo yenu
Back
Top Bottom