Mmhh, mkuu una uhakika na hiki? katika pita pita zangu nimekuta sehemu zinasema upo chini ya Wizara ya Vijana, Utamaduni na Michezo na wanauweka Dodoma, sehemu nyingine wanasema huwa unaoneshwa makumbusho ya taifa lakini hauhifadhiwi humo ila sijakuta sehemu ikisema kuhusu Ikulu. Chanzo gani...
Habari za muda huu wanajamvi,
Naomba msaada kwa anayejua wapi mwenge wa uhuru unapohifadhiwa baada ya mbio za mwenge. Mwanangu wa shule ya msingi alinipiga hili swali jana nikawa napepesa macho tu, shuleni kwao wapo katika topic inayohusiana na mambo ya uhuru wa Tanzania pamoja na mwenge wa...
Inaitwa Tanzania bara sio Tanganyika. Tanganyika iliisha toka 1964, sielewi utanganyika na uzanzibari unaingiaje kwenye point yako, ishu yako ipo kwenye muungano au namna ya uendeshaji wa mbuga za wanyama?
Ili kujua njia hii inafanyaje kazi kuziba/kuzuia matangazo inabidi kujua kuhusu namna DNS (Domain Name System) inavyofanya kazi, kwa kawaida katika internet ili computer moja iweze kuwasiliana na computer nyingine inabidi kujua anuani yake ya kimtandao (Internet Protocal address au IP address)...
Mtoa mada nafikiri unachanganya dini na Mungu, dini ni namna kikundi fulani cha watu kinavyotafsiri jinsi Mungu (au Miungu) alivyo na namna ya kuishi kuendana na maagizo ya Mungu huyo.
Dini hasa ya kikristo ni dini ambayo imekuwa ikitumika na watu wachache wanaoibuka huko wanakotoka na...
Zipo nchi nyingi tu zinazovaa pete za ndoa mkono wa kulia kama India, Urusi, Ujerumani, Poland, Hispania n.k sasa sijui unaposema "karibu dunia nzima" unamaanisha nini?
Nakubaliana na point yako ya kwanza na ya pili lakini hii ya tatu inaonesha wengi wetu tunavaa pete mkono wa kushoto kwa mkumbo tu na hakuna maana yoyote nyuma yake
Kitu gani nilichosema hapo kinatokea zama za mawe au kipo outdated? Sijaongelea hiki kitu kwa watu wote duniani (halafu hata hii 10% unayoisema sijui umeitolea wapi?). Kila jamii duniani ina namna ya vitu inavyoamini kuwa miiko na visivyo ruhusiwa katika jamii hiyo, miiko na makatazo yaliyopo...
Habari zenu wanaJF na hongereni na majukumu ya kuendeleza taifa hili.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, nimekuwa nikitatizwa na hili swali kichwani na nimejaribu kuuliza watu mbalimbali hasa Wakristo waliooa, majibu niliyopata mpaka sasa kusema kweli hayajaniridhisha kwani inaonekana watu...
Coding za aina gani unaona una uelekeo nao zaidi? Hili swali ni la lazima kujiuliza kwa sababu kama sivyo utakuwa ukizunguka zunguka ukigusa hiki na kuacha, utashika language hii utaacha, utashika nyingine utaacha. Inabidi kujua unataka kucode ili uwe unatengeneza nini?
Profession za code zipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.