Recent content by agrib4life

  1. agrib4life

    JamiiForums Tanzania Kamwe Mfugaji hawezi kuishi pamoja na Mkulima. Maisha hayawaruhusu

    Hatuna haja ya kuchukia wafugaji , shida huwa inakuja mfugaji anafuga bila kuwa na uhakika wa malisho hivyo anajikuta analisha kwenye Mashamba ya watu
  2. agrib4life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hivi ni kweli kiongozi ukiwa unatumia PEP haupati ngoma?
  3. agrib4life

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Pamoja Sana mkuu Utakuwa umenisaidia Sana
  4. agrib4life

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Vipi wewe ni mwenyeji wa chamakweza? Naweza pata ekari hata 3
  5. agrib4life

    JamiiForums Tanzania Faida kwa kuku 1000 wa nyama Dar ni 700,000 tu

    Nice
  6. agrib4life

    JamiiForums Tanzania Tangu lini mwanaume anazaa! Mwanaume hazai anazalisha

    Mkunga/ daktari ndio huzalisha Hujiulizi kwanini baba na mama huitwa wazazi? Kwanini mama pekeyake asiitwe mzazi. Mwanaume anamfumo wa uzazi pia mwanamke anamfumo wa uzazi rejea topic ya reproduction form three
  7. agrib4life

    JamiiForums Tanzania Kwani hamtaki watu wa kujitolea?

    Hawatoi nafasi za kujitolea ili mtu upate experience, lakini wakitangaza kazi vigezo vyao wanahitaji uwe na experience. Sasa hiyo experience naipataje Kama nimetuma Maombi kibao ya kujitolea kwenye makampuni lakini wanassma nafasi hazipo
  8. agrib4life

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status: jobless Education : BSC in agricultural economics and agribusiness University: SUA Location Iringa Gender: male
  9. agrib4life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hili la huyu mpenzi wangu acha pesa zangu ziishie kwa mama tu!

    Usijijudge kitabu kwa kusoma cover la nje, ingia ndani usome
  10. agrib4life

    JamiiForums Tanzania Hivi Idd Amini alikuwa mbaya kiasi hicho Nyerere alivyotuaminisha?

    Hata Kama alikuwa na mazuri, ila kitendo Cha kuvamia Kagera ilikuwa haina jinsi . Au mtoa mada ulitaka tumuache tu licha ya kubomoa kiwanda Cha sukari Kagera. Yaani adui anakuvamia halafu eti umuache kisa ukitetea kumpiga ili ukombea ardhi yako inaonekana wewe ni mdini unatumiwa na mabeberu
  11. agrib4life

    JamiiForums Tanzania Watu wa Daslamu msidhani hatujui kinachowapata huku mjini

    Kwahiyo James delicious naye ni graduate wa chuo kikuu kisa tu anaishi Dar basi hongereni
  12. agrib4life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo Star Search mnakosa mvuto

    BSS ilikuwa Zama zile, now Hadi Shilole naye pia ni judge unategemea Nini hapo.
  13. agrib4life

    JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Kaka IPOIPO mbona ni location nzuri Sana pale . Huwa natamani Sana nipate frame maeneo Yale . Ila pole kwa changamoto
  14. agrib4life

    JamiiForums Tanzania Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

    Natamani hao wajeda wangekuja maskani.. aisee ningenoa panga na ningehakikisha naondoka na kichwa Cha mjeda mmoja . Huu ni ubwege unakubali vipi kupigwa ukiwa kwako Tena bila kosa ? Huo ni umama
Back
Top Bottom