Kuna mzee mmoja alisema Masikio ya wanawake siyo hayo unayoona wewe kwa suala la mapenzi hayo hayasikii, ila masikio halisi na yanayosikia ni K na watu wanaojadili jambo wakiwa hawana nguo waepuke sana
Acha huruma za kijinga na kuwa Mwanaume.
Mpaka hapo unataka ushauri gani, unafikiri mbegu zako ndiyo zinafanya kazi kuliko za huyo aliyekaa naye muda wote. MWAMBIE HUTAFANYA CHOCHOTE MPAKA ATAKAPOPIMA DNA, HALAFU KAUSHA. NA SAHAU
Naunga hoja, maisha ni yako tu, na kumbuka ukishafikisha miaka 30 kila tatizo unalopata juwa utalitatua mwenyewe na usiwaze kuwa utapata msaada kwa,ndugu!!!
Umasikini huanzia miaka 5 tu baada ya kuandikishwa shule, wenzako wanapewa pesa wewe unaishia kuomba, uniform 1, viatu pea moja, mfuko sport wa madaftari badala ya Begi unajuwa tayari vita imeshaanza.
Maana umaskini huanzia kwa wazazi wako.
Case closed
Umeuliza swali ili ujuwe kuhusu hizo taasisi umepewa majibu sahihi ambayo ndiyo sahihi wewe unaendelea kubisha.
SASA USITUCHOSHE NENDA UKOPE HUKO HALAFU WEWE NDIYO UTATULETEA MREJESHO KAMA NI MATAPEL AU LAA MAANA UPANDE TUONAOJUWA SISI KUWA HAO NI MATAPEL WEW UNASEMA WATAKUTAPELIJE SASA NENDA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.