dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,401
- 15,980
Kwa hapa dodoma nimeona wimbi kubwa za noti hususan za shilingi elf 10 zikichanwa kweny Kona ,Mara nyingi hunjofolewa kipande kidgo na baada ya kuuliza nikaambiwa kuwa Ni kuzuia chuma ulete na kutopoteA kwa pesa kirahisi je ukweli upo hapo?
Je hili limekaje wakuu kwa maana sas hv noti nyingi zimechanwa leo asbh nimemkatalia mtu kupokea fedha zake baada ya kuniletea pesa zilizo chanwachanwa kweny Kona zake nilimkatalia nikamuambia akaingize kwa wakala wa mpesa hzo pesa kwa maana kiwango Cha uchwanwaji wake Ni mkubwa inatisha.
Vipi kuna ukweli kuwa kuchana noti Ni kuzuia chuma uleta ama ni dhanaa tu?
Mkuu wetu bwna Mshana Jr anaweza kutupa abcd juu ya swla la noti kuchanwa Ina maana gani
NOTE
Naitaka BOT kukemea swala hili haraka sna kwa sababu siyo afya na wananchi hawana uelewa wa kutunza noti.
Unakutawew unanunua shamba milion 7 anataka pesaa Kash alfu unamapa hapo Hapo anaanza kuhesabu upya huku akizichana na kungoa vipande kwa kila noti Kisha kurudisha tena kwemy mzunguko nin maana yake kwa hili.
Je Kuna mwana jf anafanya hivhivi
Ok