Ili-iwejeMimi nikijana Nina mke na watoto 3
Baba mwenye nyumba wangu yeye na mke wake walishikwa na polisi
Uku mwalimu wa mtoto wangu naye ivo ivo akiwa anaumwa
Mke wangu aliniambia kuwa baba Mkwe wangu ( yaani baba yake na mke wangu ) naye tulikuwa naye kwenye club usiku wa Jana
Mimi nilivyo cheka tu Yule askari akafikiri nacheka dirishani kumbe sisi wote tulikuwa ndani
Nafikiria saana Jambo ili sipati majibu Naombeni msaada wa ushauri wenu
Aiseeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah nimesikitika sana hasa hapo uliposema kuna polisi walitaka kukulawiti
Hiyo bhangi uliyovuta usivute tenaMimi nikijana Nina mke na watoto 3
Baba mwenye nyumba wangu yeye na mke wake walishikwa na polisi
Uku mwalimu wa mtoto wangu naye ivo ivo akiwa anaumwa
Mke wangu aliniambia kuwa baba Mkwe wangu ( yaani baba yake na mke wangu ) naye tulikuwa naye kwenye club usiku wa Jana
Mimi nilivyo cheka tu Yule askari akafikiri nacheka dirishani kumbe sisi wote tulikuwa ndani
Nafikiria saana Jambo ili sipati majibu Naombeni msaada wa ushauri wenu
Huyu ni mzima, kawezaje kuchagua jukwaa??Wewe inabidi unyang'anywe hiyo simu haraka sana kabla hujaleta madhara zaidi
Mkiambiwa kuna wanaotumia smartphone lakini madish yameyumba mnakataa haya oneni sasa!
Hao ni wale wa changamsha genge basiHuyu ni mzima, kawezaje kuchagua jukwaa??
Acha bangi utakua OKMimi nikijana Nina mke na watoto 3