Recent content by Agostino Fidelis

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hana mapenzi na mimi, naona kama namlazimisha

    Soma kwa bidii wachumba watakuja tu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hana mapenzi na mimi, naona kama namlazimisha

    Mwanangu nakushauri uachane naye mapema kwani uchumba siyo ndoa Ila uking'ang"aniza utaishi naye kwa shida sana ni aheri ukosee kuchagua nguo kuliko kukosea kupata mme
  3. A

    JamiiForums Tanzania Najuta kutongoza wanawake wa Dar!

    Tubu umwamini Bwana Yesu utapata jibu sahihi la nini cha kufanya vinginevyo hakuna mwenye majibu sahihi
  4. A

    JamiiForums Tanzania Alinialika tuishi wote nimsitiri, sasa anadai nichangie kodi ya nyumba

    Wewe naona umeamua kuolewa kissa ubana matumizi Mimi nakushauri uachane kabisa na huyo MTU Misha tafuta mwanamke uoe achana na mpango was kuolewa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nimejikuta nikimpenda kwa dhati msichana niliyekutana nae Facebook bila kutarajia

    Mtakuja tongoza na majini kila wakati mnawaza ngono tu hamna lingine?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Si mlikuwa mnawatangazia kuwa ni fisadi sasa mmemsafisha kwa sabuni gani ? Si mnaona mnavyotuchanganya Watanzania
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa Kinyarwanda amenitenda baada ya kujiunga chuo UDSM

    Mie nakushauri uachane naye ,Najua unampenda na itakuumiza sana, lakini utapata faraja ,achana naye usije ukafa siku si zako!
  8. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa ni taasisi imara zaidi

    Subiri siku moja utakichukia wala hutaamini macho yako ni bora ungetunza moyoni kuliko kujianika!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je! Ni Kweli BVR Machine zina Background Database of Pseudonames?

    Ujuaji utakuja kuwaponza,msipende kuongea ongea,waachieni wahusika wanajua cha kufanya!!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hata sura simjui, ananiomba hela

    We mtumie tu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Una mpenzi, lakini unataka tuwe marafiki

    Mimi ninamshauri achane na tabia za uzinzi na uasherati,na amwamini Bwana Yesu katika roho na kweli naye atashinda dhambi hiyo
  12. A

    JamiiForums Tanzania Najuta kumpenda mwanamke huyu, nashindwa kumuacha

    Wakati mwingine kumshauri MTU aliyependa ni ngumu kwa kiasi fulani , mvumilie tu hats uone mwisho wake wala usimwache huenda Huyo ndo Mungu kakupangia ila uwe mvumilivu kwa sana
  13. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Hongera sana Mh.Dr John Pombe Magufiri, raisi wetu Mwenyezi Mungu akujalie Maisha marefu
  14. A

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    OK nashukuru sana kaka kwa kunijuza
Back
Top Bottom