Recent content by Aggrey86


 1. Aggrey86

  Mrejesho: Nipo njia panda

  Dah!nimesoma hii kitu yako mkuu inaumiza kweli lakini yote ni mapito ndo yanakufanya kuwa imara zaidi..Mwombe sana Mungu ndiye faraja yako kwa sasa na utasahau pole sana
 2. Aggrey86

  Ushauri: Najuta kuingia kwenye mahusiano

  Wewe jifanye ----- sahizi akurudishie pesa yako kwanza maduu wapo wengi tu tengeneza pesaa bwana kwanza hawa viumbe watakuja tu.....ukumbuke kuleta mrejesho....lakini uwe umepata pesa kwanza....
 3. Aggrey86

  JamiiForums ni moja ya sehemu nzuri ya kupima IQ ya watanzania wengi

  Mkuu asante sana ubarikiwe sana nimeshakipata tayari....watu kama ninyi ni muhimu sana kuwafahamu!
 4. Aggrey86

  TANZIA: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

  Pumzika kwa amani kamanda A.Mawazo
 5. Aggrey86

  Ni kwa neema tu

  Dah! yani hapo Mungu alitaka kuwakumbusha tu kwamba bado yupo na nguvu zake ni kubwa!
 6. Aggrey86

  Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

  Pole ndugu yetu..
 7. Aggrey86

  Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

  To lateeeeeeeee.!!!!!!
 8. Aggrey86

  Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

  Apumzike kwa amani........liwe fundisho kwa tuliobaki tujifunze kuwaombea wengine mema tutabarikiwa sana!
 9. Aggrey86

  Lowassa amjibu Kinana huko Pemba!

  Huyu mzee Lowasa binafsi kuna vitu vingi vya kujifunza toka kwake kiukweili....Mwenyezi Mungu amjalie afya njema na kumpigania zaidi.
 10. Aggrey86

  Lowassa azomewa na wanachama wa CHADEMA

  :smokin::smokin::smokin::smokin:...Zimekulewesha hujielewi..huoni aibu..
 11. Aggrey86

  TANZIA: Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

  Wakuu poleni na mapuziko wakati huo huo napenda nitoe pole zangu kwa wanafamilia wote wa JF kwa kumpoteza mwana JF mwenzetu ndugu yetu Mohamed Mtoi ni habari mbaya kiukweli si habari nzuri kwa wote wapenda mabadiliko hata kwa wale wasiopenda mabadiliko...baada ya kupata taarifa ya msiba wa huyu...
 12. Aggrey86

  TANZIA: Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

  dah! aise hapana sijaamini kiukweli hadi sasa hii si habari nzuri kabisa kuisikia my God Mtoi dah!nimeumia sana kusikia hii habari jamani dah! Eee we Mwenyezi Mungu mpokee mja wako na umpuzishe kwa Amani.Pumzika kwa amani kamanda Mtoi
 13. Aggrey86

  Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

  Bila shaka inawezekana mda huu ukawa umeshalala au bado una peruzi peruzi huko na huko kwenye mitandao ya kijamii mbali mbali Dr.Slaa tumesikia na kuaminishwa kwamba hapo kesho nikimaainisha badae maana ni siku nyingine sasa mda huu ninavyoandika hapa ni 12:57 usiku... utaenda kuzungumza na...
 14. Aggrey86

  Kweli wa tz wapumbavu maji kmeta 70 gesi km 700

  Hizo huduma zingine wakiwapa wakati wa kampeni ukifika watashindwa cha kuombea kura....
 15. Aggrey86

  YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

  Makongoro Nyerere anapanda Jukwaani na kusema Kofia Oyeee....na wewe unajibu Oyeeee,,,,Miwani Oyeeee...unajibu Oyeeeee,,,Kifimbo Oyeee....unajibu/wanajibu oyeeee.....akili kama hizi ndo maana viongozi wa nchii hii wanatuona mazezeta kweli kweli.....Watanzania lazima tujue vitu vingine sio vya...
Top