Ushauri: Najuta kuingia kwenye mahusiano

Ushauri: Najuta kuingia kwenye mahusiano

Kama kuna kitu nimejifunza huku duniani ni kosa kubwa kukopesha Mwanamke ambaye una uhusiano naye wa kimapenzi . Hela kurudi ni bahati na kuna hatari uhusiano ukavunjika.
Kama ana shida msaidie kama huwezi kaa pembeni ila sio kumkopesha.
 
Ingekuwa Mimi hapo nisingempigia Simu Wala kum sms wala nini... Na Siku atakaponirudishia pesa yangu ndio mwisho Wa mapenzi Yetu... Hawa Watu Ukiwaonyesha Udhaifu Watakupanda hadi masikioni
 
Wewe jifanye ----- sahizi akurudishie pesa yako kwanza maduu wapo wengi tu tengeneza pesaa bwana kwanza hawa viumbe watakuja tu.....ukumbuke kuleta mrejesho....lakini uwe umepata pesa kwanza....
 
nionavyo mimi binti alikua anatafuta pa kuanzia bro so kama vipi mwache aamue atakavyo wala usiumize saana moyo kwa mtu asie na wazo kwako isitoshe ulisema yeye ana kipato kizuri swala la laki nne kurudi mwezi wa kwanza yeye hela zake anapeleka wapi
 
"Pia nafikia mahali najuta kumshirikisha huyu mtu mambo yangu,wenda asingefahamu nina kias gani cha pesa". Hapo ndo tatizo lilipo nionavyo mimi. Umemkopesha ukiwa na wasiwasi kama utarudishiwa au la, ukiwa huna imani kama shida yake ilikuwa ya ukweli (genuine) au sio, kwa kuwa unadhani pengine kakukopa kwa kuwa alijua unazo. Kutokana na hili ukawa unasisitiza sana kuhusiana na kurudishiwa pesa na kwa wakati ili usikwame kutimiza malengo yako. Akiwa kama mpenzi wako na ana shida ya kweli, kukosa imani nae kunaweza kumkasirisha especially kama ni mtu aliye sensitive, anachukulia kama humuamini na unamchukulia kama mtu baki kutokana na msisitizo unaouweka, bora akakope kwingine ambapo atakuwa na amani zaidi akurudishie pesa zako.
Nakubaliana na mkuu balogun kwamba bado wewe ni kijana mdogo masuala ya mahusiano nenda nayo taratibu.
 
Last edited by a moderator:
Duuuh!!! Niko na mwanamke kwny relation mwaka wanne ajui napokea shingapi wala ajui napokea lin...

Mwanamke sio ndugu yako Mkuu
 
Anapima upendo kwa pesa... Anazira.. Anapenda kubembelezwa.. Chukua pesa zako akizileta, kaa kimya. Akienda hakuwa wako, akirudi alikuwa wako
^^



upo? miss u
niazime laki moja nieendee saloon ntakurudishia

hahhaaha
 
Katika wapenzi wangu 10+ hakuna niliyemkopesha na kuhaidi atanirudishia na akarudisha.... Nikiona hizo swaga za ntarudisha najua hapa hamna kitu...
Huwa Nampa kile nilicho na uwezo nacho na hata asiporudisha huwa imeenda kwa roho safi.....

Anyway back to the point

Subiri hiyo week moja aliyosema akikurudishia endelea na maisha kama anakujali atajirudi...
 
Hawa wanawake hawa ndo maana mm huwa nawala 0713 tu, yani when it comes to money duh vijana tuna kazi...
 
Kwa mwanamke akisema anakopa=kuomba jumla.Ni wagumu kurudisha.
 
Hata mie ningekuwashia moto. Yaani unamkopesha mtu pesa kama tigo ukikopa salio. Usinywe maji wanakukumbusha deni. Usikohoe wanakumbusha. Sipati picha mume kama wewe.
 
hivi laki nne nayo ni pesa ya kumkopesha mtu afu umkumbushie mara nyingi nyingi?
 
we lazima utakua kabila flani hivi ............
 
mud mwingine kumficha mwanamke wako (sio mke) inasaidia. incase mkaachana.. usimwamini mwanamke hata kama unamtania
 
Dalili ya mvua ni mawingu broh!
Anatafuta sababu ya kuondokea.
Kumbuka wanawake ndio chanzo cha watu wengi wakubwa waliowahi kutokea duniani kuanguka.
Ila komaa akurudishie chako kwani kumuachia sio ndio kwamba atakupenda. Hawana shukrani hawa viumbe.
Mark my words
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom