Recent content by AggerFirminho

  1. AggerFirminho

    JamiiForums Tanzania Mkubwa kashtukia mchezo wa July - Sept, anawapukutisha Kama majani ya Kiangazi, bundi katua kwa taita

    Kwani Kobe wa dom kazingua nini mpk na yeye anawindwa? Kamotorola labda alitaka fimbo ya musa.
  2. AggerFirminho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasara za kuwa baba wa kambo

    wanasema Step father ni MENTAL HEALTH. Responsibilities without Authority. labda labda huyo mtoto usikae nae hapo........hapo ni labda au Uzae nae huyo mwanamke watoto. all in all Simshauri mtu .
  3. AggerFirminho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaopiga kampeni ya “Kataa Ndoa” waonywa!

    Ukimsoma vzr hapo Paulo anasema sababu kubwa ya kuoa ni kuzia tu matamanio nothing else. so hakuna dhambi ya kutooa au kutoolewa. plus wanawake ni wengi kuliko wanaume so big % ya wadada hawataolewa hata wasagae meno na washinde huko church....Na hakuna faida ya mwanaume kwenye ndoa so why...
  4. AggerFirminho

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kashfa ya Trump, Ulaya kwa kauli moja wamuambia Zelensky your not Alone you never walk alone alipo wapo ulipo tupo simamia nchi yako

    kasome mkataba walioingia 1992 nadhani. Ukraine should never join NATO
  5. AggerFirminho

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Allison haachagi maupuuzi yake. yaani akirudishiwaga mpira moyo wangu hautuliagi
  6. AggerFirminho

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    kwa kikosi cha leo.mechi inatakiwa iishe first half. ila robertson sina imani nae
  7. AggerFirminho

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Nasisitiza nikifa nizikwe kama waislamu siyo kiislamu. Tunafanya misiba ya kifahari baada ya miezi 2 watoto wanafukuzwa ada

    kuna msikiti COCO Beach. sehemu ya starehe. sijui nani katoa ruhusa Ujengwe Pale
  8. AggerFirminho

    JamiiForums Tanzania Siyo sahihi badala ya kufundisha injili ya Yesu Kristo, wanawatia wafuasi wao chuki, hofu na kuwaaminisha watateswa siku za mwishoni mwa dunia!

    Ugomvi au watu wa kwanza Yesu kuwakemea hapa duniani walikuwa sio watenda dhambi bali ni VIONGOZI WA DINI
  9. AggerFirminho

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu apinga tuzo aliyopewa Samia na kusema kuwa huo haukuwa uamuzi wa Chama bali maamuzi binafsi ya Mwenyekiti, ataka ahojiwe

    Watu hawapendi ukweli. wamezoea kufichwa fichwa mambo. so akitokea mtu akasema ukweli jinsi ulivyo wanachanganyikiwa. Lisu kaulizwa swali na yeye kajibu bila kuuma ila wengine ndio wanaumia. Mkiti ana madoa kwa kweli angekaa tu pembeni sema naona handlers wake wamemwambia kuwa lisu ni hatari...
  10. AggerFirminho

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya ya Wenje, ni wazi kuwa hata wabunge Covid 19 wana baraka za viongozi wa juu

    we unadhani Uganda alijipeleka mwenyewe??
  11. AggerFirminho

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya ya Wenje, ni wazi kuwa hata wabunge Covid 19 wana baraka za viongozi wa juu

    Hayo ndio maisha ya Uongozi wa kiafrika. umeahau mzee ruksa na mkewe??? Umesahau mkwere na nwanae ,,umesahau Jiwe na kondakta. ofcoz unachoongelea kwenye miiko ya kazi sio sawa na ndio maana najua Abdul atakuja kumruka maana hapo bi mkubwa ashachafuka.....ila ndo africa hii miiko ya kazi...
  12. AggerFirminho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hujifanya wana mood swings na kuitumia kutesa na kupelekesha wanaume mabwege

    Mood swing zao hazifanyagi kazi wakiwa kazini wala mbele ya wachungaji wao. but wakifika tu kwa waume zao
  13. AggerFirminho

    JamiiForums Tanzania Elshamah Washira mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya anayetia mashaka kutokana na tabia zake

    hii inafaa iwe kwenye BILLBOARD moroco pale. sema wakaza fuvu hawataelewa
  14. AggerFirminho

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

    Shida sio uislam au ukristo shida ni raslimali na siasa za dunia. na ndio maana msumbiji walipoanza tu kuchimba mafuta ghafla magaidi wakatokea. by the way mi ni mkristo
  15. AggerFirminho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfuma mke wangu akimfunda jirani/maarufu kama shoga yake kuchepuka

    DNA IWE LAZIMA KABLA MTOTO HAJATOKA HOSPITAL
Back
Top Bottom