Mkuu tatzo vijana wa bavicha wamevimbiwa pumba mkuu ,asante kwa aoma zuri wajifunze angalau hiki kido japo kujajua ya ndani milele wasahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukuulize unataaluma ya ulinzi wa rais au ni wapi ulishakua mlinzi wa rais usiyoyajua usiyalete hapa kinyumbu nyumbu ukajifanya unajua sana futa huu upupu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aipendi zungumzia mambo ya dini ila hapa mkuu umetinyangaa ,usichanganye uarabu na dini hatakama wao ndio kama daraja la dini ya islamu ndugu,,waarabu katika enzi za ukoloni ni wakatili sana ila huu uislamu sio ukatila wala dhambi ni kitu chema ila wengi ufanya uovu kupitia migongo ya dini...
Mim nashangaa hawa vijana wa chadema kisa kiongozi wao wamemsaport uhuru sasa wanafikiri magu anaupumbavu wa kuingilia ya watu mzee wawatu kakaa kimya tangu harakati za uchaguzi ziaze nyie ufipa mwashwa juu yake kazi imoo kwenuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki ulivyokua mweupe kwani maamuzi hayo kapangiwa na mtanzania au chama chao huko kenya hii inaonyesha jinsi gani mlivyovilaza ufipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu manyumbu kawaida yao ni kujifanya wanajua ila hii ya sasa watajuta magu kuingia mzigoni ,,yani nawacheka sana kwa ujumla upelw umepata mkunaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wananongea pumba sana ila ukweli ni kuwa tiss ya kikwete ,lowasa ,mkapa na sumaye imeshafumuliwa ,sasa manyumbu msifikiri ya sasa ni ya kipindi kile hapo imekula kwenu,mtabeza kwa yaliyopita ila ya sasa ni habari nyingne ni kazi juu ya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.