Bilionea Bill Gates na uongo wa Taifa

Bilionea Bill Gates na uongo wa Taifa

wewe ni mpotoshaji na una kiherehere una pepo la uchochezi .na kwa vile watanzazia wengi ni wajinga basi unapata wafuasi unavimba kichwa
Nimepotosha nini na wewe ni nani mpaka useme nimepotosha na nina pepo la uchochezi?
 
Kuna sentensi moja aliyoandika kule intag inasema niko tz sijui kuangalia miradi ya watoto blablabla plus other interests...sasa palepale nilijiuliza hizo other interests ni zipi hasa nikakosa jibu.
 
Mgeni atakushangaa
ila anaye kufahamu ata kudharau milele
huna jipya zaidi ya Kutumika kama Pedi!!
Sasa hivi hujui wapi ulipo ulitoka wapi na wapi unaelekea!!
Hahaha Kweli kuishiwa kubaya
unaweza kupinga hata kivuli chako si chako!!
 
Yapo mambo nikiwaangalia na kuwasikiliza waswahili wenzangu nabaki kucheka na kujionea huruma mimi na wanizungukao... Nchi yangu imekuwa nchi ya ngano za vibarazani na uongo wa mchana kweupe ambao hata mmiliki wa uongo yule apewaye jina baya japo kimsingi simbaya yule aitwaye shetani anatuogopa...

Bill Gates kaja kuwekeza Tanzania? Bill Gates kaja kwakuwa anaipenda Tanzania saaaanaaa? Daah my God... Uwekezaji ni sayansi inayouhusu utafiti na faida sio siasa, ni jambo mtambuka linalozingatia sera za taifa unalotaka kuwekeza na hulka za wanamaamuzi wa eneo husika. Naipenda sana nchi yangu, lakini uongo huu hauwezi kuwa tiketi ya uzalendo... Uzalendo wa aina hii siutaki kabisa.

Ulale pema peponi bilionea Faustine Mrema, ulikuwa alama ya ukwasi Duniani, uliitambulisha nchi yetu machoni pa dunia, wewe ndio umewaleta mataifa na mahasidi pamoja katika ardhi ya Tanzania.

Na Yericko Nyerere
View attachment 564818 View attachment 564819
Tatzo we chalii wa ufipa unawivu tu ,sijaona chamaa ulichoandika zaidi ya upupu ulitaka aje baba yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo letu watanzania ni kujikataa ndio maana imebaki kujihisi hatuna kama akili!
 
Back
Top Bottom