Recent content by AG Gracious

  1. AG Gracious

    JamiiForums Tanzania Msaada wanajamvi: Kuna hatari nikifanya hivi?

    mkuu haina shida mana bado hujasaini mkataba, ili uweze kuingizwa kwenye payroll lazima uwe umesaini mkataba pamoja na kujaza form zingine za ajira. But to be on a safe side, nenda kwa hr wa kituo cha kwanza umuelezee kwamba umechaguliwa sehemu nyingine na kwamba hutaenda huko.
  2. AG Gracious

    JamiiForums Tanzania Nampenda lakini "Kama vile" hajielewi..

    Mkuu kwanza, mi naamini kama umeweza kumanage kufungua kampuni yako inamaana utakua unaijua vizuri principle ya 'SEPARATE ENTITY' Huwezi kumueka mtu akawa manager kisa ni mpenzi wako, hapo lazima ile kwako. Pili, sisi wanawake tukimpenda mtu huwa ni wavumilivu sana, huwezi ukampenda mtu afu at...
  3. AG Gracious

    JamiiForums Tanzania ushauri

    Just give yourself a break, achana nao wote, focus jinsi ya kumlea mtoto wako. Akili ikishatulia utajua la kufanya
  4. AG Gracious

    JamiiForums Tanzania Wanawake,,mpaka tuingie gharama ndio mseme ukweli huu?

    there are somethings which are very difficult to confess
  5. AG Gracious

    JamiiForums Tanzania Boni mwaitege na mtazamo wake kuhusu ndoa...

    usifungiwe nira na wasioamini.... achana nae huyo, keshakwambia haamini kama Mungu yupo, sa ataamini vipi kama mke/mume mwema anatoka kwa Mungu??
  6. AG Gracious

    JamiiForums Tanzania Dhibiti muda anaospend mumeo kwa small house...

    Best mtu mzima hachungwi, hapo labda namba 5 ndo inahusika, lakini hvo vingine unaweza ukavifanya na bado vikaleta negative effects kwenye ndoa yako
  7. AG Gracious

    JamiiForums Tanzania Cheaters, plz be smart

    we unajijua ni cheater afu huweki pasword kwenye simu yko unakua na mana gani!!!! huo ni uzembe
  8. AG Gracious

    JamiiForums Tanzania Hodi wakuu

    Habari zenu wanajamvi....
Back
Top Bottom