Recent content by Afrospear

  1. Afrospear

    JamiiForums Tanzania Tamko la waumini wanaopinga Parokia ya Kawe kuendeshwa kinyume cha taratibu za Kanisa Katoliki

    Duuh..! jamaa nalijua sana ni kauzu bin uduvi balàa
  2. Afrospear

    JamiiForums Tanzania How your life can begin at 55

    Nimeipata hiyo na ninaichukua mazima
  3. Afrospear

    JamiiForums Tanzania CHAK ACHAKA (Just begin my son)

    Asante Mkuu nitaifanyia kazi
  4. Afrospear

    JamiiForums Tanzania Kijana pitia hapa upate kujua haya kwa manufaa ya maisha yako

    Write your reply...Ila kiukweli mtu unahudhuria shule kila siku unapataje zero?Hivi unakua na ubongo wa aina gani?
  5. Afrospear

    JamiiForums Tanzania Kijana pitia hapa upate kujua haya kwa manufaa ya maisha yako

    Write your reply...Ila kiukweli mtu unahudhuria shule kila siku unapataje zero?Hivi unakua na ubongo wa aina gani?
  6. Afrospear

    JamiiForums Tanzania Waswahili ni wenyeji wa sehemu gani hapa Tanzania bara?

    Write your reply...Mswahili ni mwenyeji na mkazi halisi wa pwani ya afrika mashariki(Azania) ikiwa ni pamoja na visiwa vlivyopo karibu na pwani hiyo.Swahili sio kabila japo Swahili INA makabila ndani yake.
  7. Afrospear

    JamiiForums Tanzania Tafsiri halisi ya neno Mswahili

    Nijuavyo Mimi mswahili in mstaarabu na mkazi halisi wa ukanda wa pwani ya afrika mashariki(azania).mengine in upuuzi wa kuharibu maana halisi ya mswahili.
  8. Afrospear

    JamiiForums Tanzania Tanzania/bongo saddest & emotional songs of all time

    machozi -lady JD ,Lima sanga-lonely ,Mr nice-mbona umeniacha ,
  9. Afrospear

    JamiiForums Tanzania Tutafutane katika Mambo haya...

    Kwa kipindi hiki naunga mkono hoja(KANYAGA).
  10. Afrospear

    JamiiForums Tanzania Ishinde Hofu

    Gracias
  11. Afrospear

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii isomwe na wanaume tu

    Gracias
  12. Afrospear

    JamiiForums Tanzania THROWBACK IN MEMORIES: Wimbo gani ukisikiliza unakukumbusha tukio fulani

    Understanding ya Xscape na foolin around ya Changing faces.Nakumbuka wakati nipo o'level miaka ya tisini kuna manzi ya kishua ilitokea kunimaindi muhuni ila kutoa papuch ikawa shida ila mwisho wa siku ililiwa. Long distance ya brand na Hold on ya Lucky dube huwa namkumbuka sana Bi mkubwa.R.I.P...
  13. Afrospear

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya Damu na Tabia

    Mkuu kwenye group O hujakosea,kama umenifanyia utafiti mimi maana ninavyochapa nao.
  14. Afrospear

    JamiiForums Tanzania Daladala

    Nakumbuka nilimsaidiaga bi dada mmoja kumpakata mwanae ktk daladala,katoto kalinimwagia kojo kiasi kwamba hadi leo sipakati mtoto wa mtu na sikai siti za karibu na mlangoni.
Back
Top Bottom