Recent content by Afro-Arabica

  1. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Bila kitambulisho, hutopata huduma yoyote nchini

    Maoni yangu "kw kuwa kutoa ID (kitambulisho) ni bure !!! hapo sasa !! umuhimu wake unakuwa SUBIRI, SUBIRINI, Mtuvumilie, Samahani kwa USUMBUFU, Njooni weeki ijayo, MTANDAO HAMNA, UMEME UMEKATA, MUDA UMEISHA..!!! nk nk nk Jamani bora mututoze ELFU 20000/- au gharama maalumu LAKINI kazi na...
  2. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Mjukuu wangu ametoa kitabu karibuni mtusapoti kwa wale wenye mapenzi mema

    Ooooh!! Dear usitumie neon hilo "Laana" ktk kila uchungu upatapo!! neon hilo ni zito sana!! pls mfyonze tu au msamehe....
  3. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya zavutana kuhusu Mto Mara

    mmmmh !! Mwez/Mungu gani huyo atupe ulinzi...................Juu ya dhulma tuzibebazo mgongoni !!!!??????
  4. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Angalia umri wako, upo sahihi, Umekosea, Unahitaji kujirekebisha?!!!

    hii ya mwisho mie siamini kbs !! kwani kuna wengi wanakufa mapema na wengi wa miaka 70 ndo kwanza wanaishi na kutupa historia za awali na uzoefu wa maisha..!!!
  5. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wanatumia mpira wa miguu kunung'unika.

    Kwanza HONGERA kwa vijana chipukizi kufika fainali na kutolewa kwa penalt!!! mengine ni mitazamo tu...... Kwani maisha ktk nyumba aliyopo MAMA wa kambo... maneno na kusengenyana hayatokwisha bhana... kawaida tusonge mbele!
  6. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania UKWELI KUHUSU UBAKAJI

    Tatizo kubwa Ulimwengu huu ni WANAUME wengi hawajizuii katika matamanio yao !!!! yaani cases kila uchao...
  7. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Omba omba ktk mataa ya barabara wanahatarisha !!

    Mkuu kuna hatari ya kuwagonga watoto hao, maana wanapitapita chini ya matairi ya magari..!!
  8. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Omba omba ktk mataa ya barabara wanahatarisha !!

    Napendekeza na kutanabaisha wenye mamlaka ya kusimamia jiji wachukuwe hatua haraka!! Wengi wetu,madereva na wenye kumiliki magari tupo hatarini sana.. haswa tunapokuwa ktk barabara na gari lako unakosa Amani na kuwa katika sintomakini maana tunakabiliana na yafuatayo:~ 1. Omba omba na va vototo...
  9. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Am back, the New Dr. Marcossy Albanie

    Be blessed... welldone, Taifa linahitaji modeli kama zako !!
  10. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    kwa sababu kuna ukweli na mfumo halisi..... Good endelea kusoma utajifunza
  11. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Nchini Yemen

    Mashkurra kunifundisha adabu.. wee umesoma Madrasa!!!?
  12. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Nchini Yemen

    Mkuu Mazina, usiogopeshwe na maneno ya kike...!! kama mdogo wako dume aende akapambane na maisha.. Matatizo yaliyopo ni minor cases!! lakini elimu ipo na ilm ipo yani (Dini na Dunia) halafu kama anajiweza kuna kazi zakutosha katika ujenzi na ufundi !! Tatau currency yao ipo juu kuliko nchi za...
  13. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu wa Dsm ahudhuria ibada Kanisa la Ufunuo, asisitiza umoja na mshikamano kwa Watanzania

    Hopeless and Pointless huna akili wee
  14. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

    Sasa kakangu umeamua siyo
  15. Afro-Arabica

    JamiiForums Tanzania Bye bye my Tanzania, bye bye my fellow members, truly gonna miss u

    Na'am namjuwa msalimie ..kawa mtu mzima eenh !! basi mvumilie... usimkere kere..
Back
Top Bottom