bopwe
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 1,776
- 1,464
kusoma elimu dunia
bora ende Misri, Saudi, Oman Hata uingereza wanatoa degree za islamic sharia and law na quran pale Oxford..ande huko
kusoma elimu dunia
Ah Mwambie aende tu Watu wapungue Bongo... ameula huyo mkuu... Hongereni...
Mwambie aje Pemba nimuuzie Jini la Kumlinda




yah si anaenda mamtoni!ameula kivipi tena,ni kimaisha ama
Halafu uwe na adabu utaniambiaje babako kuwa nimeongopaMkuu Mazina, usiogopeshwe na maneno ya kike...!! kama mdogo wako dume aende akapambane na maisha.. Matatizo yaliyopo ni minor cases!! lakini elimu ipo na ilm ipo yani (Dini na Dunia) halafu kama anajiweza kuna kazi zakutosha katika ujenzi na ufundi !! Tatau currency yao ipo juu kuliko nchi za KiAfrika!! zaidi tu asiwe na tabia ya uzinzi au kufuata wanawake, tahadhari WATAMMALIZA tu !!
nne atajifunza ustaarabu wa kimataifa, maana kuna waAsia wengi na wachina na waarabu mbali mbali... akichanganyika nao atajifunza kazi za mkono na uboreshaji wa nakshi.... !!
Kama ni hali ya nchi.. mbona hata Nigeria kuna vita, iraqi kuna vita lakini maisha yanaendelea..
Mwambie akishindwa aje huku Dubai tutamsaidi mtanzania mwenzetu.
kivava tozi25 Ghulaam MZAWA JF bopwe Nyie acheni uongo.
Kiusalama hali ni tete ktk baadhi ya maeneo.Yeye anaelekea sehemu gani ya Yemeni? Hali ya kiuchumi vile vile ni ngumu sana, sasa asije akawa na wazo kwamba ataenda kusoma na kufanya kazi ili ajikimu kwa mahitaji yake muhimu.Ila kama ni nafasi ya kudhaminiwa kwa kila kitu na kama ni kwenye maeneo ambayo hayajakumbwa na machafuko basi aombe mungu na aende kwa lengo la kutafuta elimu tu.Habari zenu waungwana,nina mdogo wangu anatarajia kwenda kimasomo nchini Yemen,Napenda kufahamu mazingira ya huko Yemen,je hali ya kiusalama ikoje
Mashkurra kunifundisha adabu.. wee umesoma Madrasa!!!?Halafu uwe na adabu utaniambiaje babako kuwa nimeongopa
Babako mkubwa ambaye ni kaka yangu ilimlazimu kusitisha masomo yake amekuja kumalizia hapa nyumbani na walitolewa yemen kwa msaada wa serikali ya suudia baada ya vita kupamba moto
Hajazuiwa kwenda yemen muhim ajiandae na yote
Na kama huyu muulizaji atahitaji nimuunganishe AniPM atayajua mengi kuhusu yemen
Hamna ubaguzi uko mkuu?Mkuu Mazina, usiogopeshwe na maneno ya kike...!! kama mdogo wako dume aende akapambane na maisha.. Matatizo yaliyopo ni minor cases!! lakini elimu ipo na ilm ipo yani (Dini na Dunia) halafu kama anajiweza kuna kazi zakutosha katika ujenzi na ufundi !! Tatau currency yao ipo juu kuliko nchi za KiAfrika!! zaidi tu asiwe na tabia ya uzinzi au kufuata wanawake, tahadhari WATAMMALIZA tu !!
nne atajifunza ustaarabu wa kimataifa, maana kuna waAsia wengi na wachina na waarabu mbali mbali... akichanganyika nao atajifunza kazi za mkono na uboreshaji wa nakshi.... !!
Kama ni hali ya nchi.. mbona hata Nigeria kuna vita, iraqi kuna vita lakini maisha yanaendelea..
Mwambie akishindwa aje huku Dubai tutamsaidi mtanzania mwenzetu.
kivava tozi25 Ghulaam MZAWA JF bopwe Nyie acheni uongo.