JamiiForums Tanzania
Soulmate
Habari wanajamvi wenzangu!!
Naomba twende moja kwa moja kwenye maada lengwa ili nisiwachoshe, ni mara ya pili nimerudi kwenu
Mm ni jinsia ME, umri wangu miaka 30, mrefu kiasi, mweusi kawaida.
Elimu yangu ni Shahada lkn sijabahatika kupata kazi, hivo najishughulisha na biashara za kawaida...