Akishakuoa atakuhudumia tu. Hakuna mwanaume ambaye hawezi kuhudumia family yake hasa anapokuwa na mishe mishe mjini!Habari zenu wapendwa wa Jf, heri ya mwaka mpya 2020
Naombeni mawazo yenu hapa
Un mwanaume ambaye yupo vizuri sana 6*6 yani ukikutana naye unahisi dunia ni ya kwako ("kwa kifupi mwanaume anayeyajua mapenzi na kuyamudu) Una mpenda na una hisia naye sana, yani ni ile ukimuona tu hata ajakugusa wewe unatetemeka.
Ila mbahili sana pamoja na kuwa na kazi nzuri [emoji23][emoji23][emoji23], hakuhudumii kwa maana ya hata vipesa vya kusuka, tu powder na mafuta siku moja moja, hakutowi out yani kwa kifupi ni mbahili.
Au mwanaume ambaye humfili yani humpendi sana hakuvutiii sana wala huna hisia naye kihivyo , ila akiwa na hela (anapambana tu mtaani hana ajira rasmi) ata jitahidi kukutoa out, atakuletea zawadi, atakuletea mahitaji mpaka ya nyumbani kwako
Ila ndo hivyo sasa mizuka naye ipo very down una ng'an'ana na bahili wako.
Hii ishu imemtokea staff mwenzangu yupo njia panda wote wapo tayari kumuoa ila sifa zao ndo hizo, Anataka afanye maamuzi sasa ili kati ya hawa wawili apatikane mchumba rasmi ananiuliza ngekuwa mimi ningefanyaje?
Hebu tumsaidie ndugu yetu huyu???
Sent using Jamii Forums mobile app
👊👊👊Hakuna mwanaume ambaya anampenda mwanamke halafu akawa bahili.
Huyo mbahili nahisi hatakuwa na mapenzi na yeye.
Aolewe tu na anayemuhudumia.
Na analala nao wote na kila mmoja anahisi yuko peke yake.
Unamuombea ushauri wewe kama nani ?, wewe ni mamaushauri ?, kwani yeye hawezi kuandika ?, wanawake mna matatizo saana, ndio mnataka 50/50 wakati hata hamuwezi kuchagua nini cha muhimuNimemuombea mtu ushauri kama huna cha kukomenti usihukumu mtu
Kila mtu ana stori ya maisha yake, Tumshairi tusimhukumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamme wa kwanza yupo kama mimiHabari zenu wapendwa wa Jf, heri ya mwaka mpya 2020
Naombeni mawazo yenu hapa
Un mwanaume ambaye yupo vizuri sana 6*6 yani ukikutana naye unahisi dunia ni ya kwako ("kwa kifupi mwanaume anayeyajua mapenzi na kuyamudu) Una mpenda na una hisia naye sana, yani ni ile ukimuona tu hata ajakugusa wewe unatetemeka.
Ila mbahili sana pamoja na kuwa na kazi nzuri [emoji23][emoji23][emoji23], hakuhudumii kwa maana ya hata vipesa vya kusuka, tu powder na mafuta siku moja moja, hakutowi out yani kwa kifupi ni mbahili.
Au mwanaume ambaye humfili yani humpendi sana hakuvutiii sana wala huna hisia naye kihivyo , ila akiwa na hela (anapambana tu mtaani hana ajira rasmi) ata jitahidi kukutoa out, atakuletea zawadi, atakuletea mahitaji mpaka ya nyumbani kwako
Ila ndo hivyo sasa mizuka naye ipo very down una ng'an'ana na bahili wako.
Hii ishu imemtokea staff mwenzangu yupo njia panda wote wapo tayari kumuoa ila sifa zao ndo hizo, Anataka afanye maamuzi sasa ili kati ya hawa wawili apatikane mchumba rasmi ananiuliza ngekuwa mimi ningefanyaje?
Hebu tumsaidie ndugu yetu huyu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia kusoma mwenye kujua mapenzi ana kazi na ana pesa ila mbahili, mwenye hapendwi hana kazi anaunga unga tu mtaani ila akipata ndo anamhudumia huyu mdada
Kwa hiyo ukifananisha vipato huyu mbahili ndo ana unafuu wa maisha
Sent using Jamii Forums mobile app