Africasana
Member
- Mar 11, 2020
- 14
- 19
Habari zenu wakuu?
Kuna hoja hapa naomba kuileta kwenu..
Kama mmejaribu kufatilia, Vijana wengi sana wanathubutu kutoka mikoani na kwenda Dar es salam kutafuta maisha.
Wengi wanaenda kutafuta fursa ambazo kwenye mikoa waliyopo hazipatikani, na sanasana ni fursa za kibiashara. Baadhi yao wanafanikiwa kutoboa na baadhi hawatoboi.
Tuzungumzie hawa wanaofanikiwa kutoboa. Vijana wengi wanafanikiwa kutoboa Dar tofauti na walipokua mikoani kwao. Yaani unaweza kuwa na kijana mwenzio mna fani moja, ww ukabaki mkoani (mfano Mwanza) yy akaenda Dar, akaenda kufanya kilekile unachokifanya Mwanza lkn yy akawahi kutoboa kuliko ww. Sina maana kwamba hawapo wanaotoboa mikoani, wapo wwngi tu lkn naona ni rahis zaid kutoboa Dr kwa kijana kuliko mkoani.
Binafsi nina washkaji zangu wawili tulimaliza nao chuo. Baadae tukasota sana kutafuta ajira lkn tukajikuta tumeangukia kwenye ufundi. Katika kujitafuta washkaji wakaenda Dar mimi nikabaki mkoani, maisha waliyonayo huwez ringanisha na mm kabisa, wako mbali sana mpaka nashawishika na mimi kwenda Dar.
Kuna siri gani imejificha hapa? Au ndo ule msemo kwamba “huwez fanikiwa kwa kufanya biashara sehem uliyozaliwa”
Au ni sababu ya population? au ukifika Dar automatically akili yako inajitune kuwaza kutafuta kwa nguvu zaid kuliko mikoani?