Kama mfanyabiashara nimekuwa nikisafiri mara kwa mara na kushuhudia magari yakikamatwa na trafiki polisi ambao mimi ninawaita polisi rushwa kwa tuhuma mbalimbali kama vile speeding, gari kuwa chafu, bima kuisha, madereva kutokuwa na leseni, breki zenye matatizo, nk. Hata hivyo sijawahi...