kwa nini kwenye picha ya muungano ni nyerere pekee akichanganya udongo na karume haonekani?

mankipe

Member
Mar 7, 2011
96
12
ndugu wa Tz wenzangu ivi ni kwa nini kwenye ile picha inayoonyesha jinsi Tanganyika na Zanzibar walivyoungana ina picha ya kiongozi wa upande mmoja ie Nyerere akichanganya udongo bila kuwepo mzee Karume? au ni kweli karume alipelekeshwa na Nyerere kukubali muungano bila ridhaa ya wanzanzibar? napenda kuwakilisha hoja
 
muungano ni batili inabidi kuwe na kura za maoni km watu bado wanautaka muungano
 
ndugu wa Tz wenzangu ivi ni kwa nini kwenye ile picha inayoonyesha jinsi Tanganyika na Zanzibar walivyoungana ina picha ya kiongozi wa upande mmoja ie Nyerere akichanganya udongo bila kuwepo mzee Karume? au ni kweli karume alipelekeshwa na Nyerere kukubali muungano bila ridhaa ya wanzanzibar? napenda kuwakilisha hoja
Hiyo Umepata kwa Mbunge wa Pemba by the name of Mnyaa... yeye kasema Mwanae kamuuliza kwanini ni picha ya JK Nyerere only? well hilo ndio Tatizo kubwa la Muungano?

There is way better points to discuss questioning the Union than nani kachanganya Udongo!!
 
Karume alikuwa kichuguu,nyerere mlima kilimanjaro (in term of intellectual ability)
Yule mzee alikuwa ful maujanja akisema chochote hakuna wa kubisha ukibisha una alternative mbili ,upigwe ban ya kutotoka nje ya kijiji chako au ukimbie nchi
 
Nyerere alikuwa mbabe sana! TZ ingekuwa tajiri nadhani tungetawala nchi nyingi sana kwa umaskini huu tulionao majeshi yetu yalipigana msumbiji huko tukasidia sana vyama vya ukombozi so karume asingekuwa na nyodo mbele ya Mwalimu
 
Karume alikuwa kichuguu,nyerere mlima kilimanjaro (in term of intellectual ability)
Yule mzee alikuwa ful maujanja akisema chochote hakuna wa kubisha ukibisha una alternative mbili ,upigwe ban ya kutotoka nje ya kijiji chako au ukimbie nchi
Sasa hiyo ni "intellectual ability" na "maujanja" au utemi na udikteta?

Unaji contradict.
 
ndugu wa Tz wenzangu ivi ni kwa nini kwenye ile picha inayoonyesha jinsi Tanganyika na Zanzibar walivyoungana ina picha ya kiongozi wa upande mmoja ie Nyerere akichanganya udongo bila kuwepo mzee Karume? au ni kweli karume alipelekeshwa na Nyerere kukubali muungano bila ridhaa ya wanzanzibar? napenda kuwakilisha hoja
This is blatant absurdity. JAMII FORUM nashauri tujadili mambo ya maana siyo watu na matukio ...
 
Hiyo Umepata kwa Mbunge wa Pemba by the name of Mnyaa... yeye kasema Mwanae kamuuliza kwanini ni picha ya JK Nyerere only? well hilo ndio Tatizo kubwa la Muungano?There is way better points to discuss questioning the Union than nani kachanganya Udongo!!
Kula 5 !!! Maana hata huyo Mnyaa kama anaulizwa miaka nenda na mwanae angeweza kuliwasilisha kama swali mahali husika na kujibiwa tatizo sio nani anachanganya..tatizo huo mchanganyiko una tija?!
 
Karume alikuwa kichuguu,nyerere mlima kilimanjaro (in term of intellectual ability)
Yule mzee alikuwa ful maujanja akisema chochote hakuna wa kubisha ukibisha una alternative mbili ,upigwe ban ya kutotoka nje ya kijiji chako au ukimbie nchi

Tuna uhitaji mkubwa sana wa watu kama Babu Burito kipindi hiki, probably kuliko kipindi chochote cha historia ya nchi hii... watu 'kaksi' lakini wenye uzalendo uliotukuka
 
ndugu wa Tz wenzangu ivi ni kwa nini kwenye ile picha inayoonyesha jinsi Tanganyika na Zanzibar walivyoungana ina picha ya kiongozi wa upande mmoja ie Nyerere akichanganya udongo bila kuwepo mzee Karume? au ni kweli karume alipelekeshwa na Nyerere kukubali muungano bila ridhaa ya wanzanzibar? napenda kuwakilisha hoja
Iweke picha yenyewe hapa, acha kuzungumza utumbo!
 
Barubaru said:
Kizungumkuti hicho. hata nyaraka zenyewe za muungano hazipo.

Barubaru,

..watu wana passport za Tanzania, halafu unahoji nyaraka za muungano ziko wapi??!!

..badala ya kudai nyaraka za muungano bora mngejielekeza kusisitiza kwamba muungano hauna faida hivyo uvunjwe.

..MUUNGANO NI MZIGO KWA WA_TANGANYIKA. HAIJALISHA NYARAKA ZIPO AU HAZIPO.
 
ndugu wa Tz wenzangu ivi ni kwa nini kwenye ile picha inayoonyesha jinsi Tanganyika na Zanzibar walivyoungana ina picha ya kiongozi wa upande mmoja ie Nyerere akichanganya udongo bila kuwepo mzee Karume? au ni kweli karume alipelekeshwa na Nyerere kukubali muungano bila ridhaa ya wanzanzibar? napenda kuwakilisha hoja

Karume alikuwa ana allergy ya vumbi (allergic to dust) ndiyo sababu hakushiriki kuchanganya mchanga kwa vile afya yake ingeathirika.

Kuhusu muungano ni kwamba Karume hakupelekeshwa na Nyerere bali watu asilia wa zanzibar walichoshwa kutawaliwa na wageni yaani waarabu, wamanga, wamangakoko na wahindi

Hatuvunji muungano kama hamridhiki nao rudini kwenu india, oman au kokote huko babu zenu walipotokea. Zanzibar ipo afrika kwa ajili ya waafrika.
 
Asante angalau kuna mmoja wenu ameona hilo. Basi ni mengi tu ambayo alikuwa akifanya bila ya ridhaa na mashirikiano na Zanzibar. Kwani ukiwa katika nafasi kubwa kama ya Nyerere huwa hujali kitu unafanya utakavyo tu. Na Nyerere alijua kama wazanzibari wataamka wadai chao ndipo alipopaogopea kwenda kwenye serikali moja akaona ababaishe hivi hivi tu. Sasa wakati umefika kwa usalama na mshirikiano tugawe mbao kila mtu aangalie hatima na maslahi ya watu wake.
 
Back
Top Bottom