Recent content by Advocate Mnyali

  1. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania Usimpe mtu connection ya kazi ni Bora uiuze kwa gharama

    Wewe jamaaa una roho mbaya adi nimeipenda[emoji23][emoji23][emoji23]kwani wewe na mwigule Nchombi ni ndugu?
  2. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu

    Kama kawaida yetu binadamu tumeumbwa kusahau. Sina mengi ya kusema ila ki ukweli taifa la Tanzania linajivunia uwepo wa [emoji881].
  3. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

    We umeshawahi kuona Bakhressa akijigamba na pesa !!!
  4. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania Maarifa ya msomi

    Vijana wenzangu tusikate tamaa tuongeze juhudi, maarifa, na kumtegemea Mungu kwa sana kila kitu kinawezekana chini ya jua[emoji3508]. Wengi wao walio fanikiwa hawakukata tamaa walikutana na changamoto nyingi sana katika kupigania ndoto zao, thus why leo tunawaona ni watu wenye mafanikio katika...
  5. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania My Country

    In Tanzania economy DRIVE political or Political DRIVE economy
  6. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Aiseee kuishi duniani ni kazi
  7. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania Kagera: Ratiba ya kuaga miili ya waliofariki ajali ya ndege ya Precision Air, Waziri Mkuu anazungumza, leo 07-11-2022

    So sad[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  8. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukumbwa na janga gani chuoni mpaka ukapaona chuoni kuchungu?

    𝐰𝐞 𝐧 𝐦𝐰𝐚𝐦𝐛𝐚
  9. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi yangu tuna kwama wapi? Yaani darasa la nne alipwe zaidi ya million kumi, halafu mwenye Shahada ya kwanza alipwe 716000/=?

    Unacho kisema ni kweli yaani hawa wabunge kinacho fanyika ni unyonyaji wa wananchi......kunatakiwa sheria zifanyiwe amendment, kwa mabadiliko ya sasa kutokana na ongezeko la wasomi nchini kigezo cha darasa la saba kuwa ni sifa ya kuwa mbunge kifutwe...
  10. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku kufanya biashara ndani ya bus na kufanya mahubiri

    Yah yupo sahihi sana, sometime Huwa wanazunguka wauza dawa za meno
  11. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkulima anadhaniwa ni mtu masikini katika jamii

    Angalia majority
  12. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania Manyara: Amuua mkewe kisa Tsh. elfu kumi

    Daaaah tujitume tuondokane na umaskini
  13. Advocate Mnyali

    JamiiForums Tanzania Ziara za Makamba ni Matumizi mabaya ya kodi zetu

    Mimi binafsi ninacho kiona sio kwamba ni matumizi mabaya ya pesa always ukitaka concentration ya citizens ni lazima uwe mtu mwenye ushawishi au nafasi fulani ya juu serikalini , so waziri anacho kifanya ni kuchukua attention ya watu ili ujumbe wake ufike.
Back
Top Bottom