Recent content by Advocate Justine

  1. Advocate Justine

    Ukweli ni kitu gani? Swali la Pilato linaloisumbua TLS

    Kuhangaika kwenu kumeonesha wazi sivyopenda utawara wa sheria. Sidhani kama taaluma ya sheria imeishiwa hadi ihitaji ushauri nje ya wanasheria. Tuacheni tuchague atakae simamia RULE OF LAW and not RULER OF LAW! Maana haki imekosekana na wananchi wamelazimishwa dhambi ya unafiki kusema serikali...
  2. Advocate Justine

    Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa TLS

    Mtoa mada wewe mwenyewe ni CCM pure. Sasa sijui tukuamini wewe usiyemwanasheria bali mwana CCM au Lisu? Dr Ellen sio mjinga. Polisi wanauwawa na usalama wa Taifa na hao ndio walikusudia kummaliza kipindi anachunguza mwenendo wa uchaguzi mwaka juzi. Hawezi pigania huo upuuzi ulokubuhu. Na...
  3. Advocate Justine

    Tundu Lissu hafai kuwa Rais wa TLS

    Lisu hayuko serikalini. Serikali huundwa na chama tawara. Elewa kuwa ukisema serikali kwa sasa unamaanisha CCM. Lisu ni CHADEMA. Sioni hoja ya msingi kwenye madai yako.
  4. Advocate Justine

    Wakristo: Msaada wa ufafanuzi kuhusu kunena kwa lugha

    Hapa Biblia hunifariji "Makwazo hayana budi kuja lakini ole wake ayaletae makwazo". Mtoa maada umejitangaza kuwa wewe ni mkristo, but i doubt. Uko vuguvugu, simama imara usijekutapikwa.
  5. Advocate Justine

    Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ahudhuria Ibada KKKT Kimara; hataruhusu Dar kuwa lango la Madawa

    Mi napenda kusikia kuwa analia. Alie haswa maana hana namna nyingine.
  6. Advocate Justine

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    It's, however, not a hard and fast rule. Mtu binafsi anaweza kufungua kesi ya jinai.
  7. Advocate Justine

    Jinsi ya kujua mtoto ni wako au la kwa kutumia DNA ya kimila

    Mweka mada mi bado ninashaka na sayansi yako. Kwani mtoto huwa alama hizi achukue kwa baba wala sio kwa mama yake?
  8. Advocate Justine

    Vyeti vya Makonda: Ni Siasa za Woga na Hofu ya Ukali wa Sizonje?

    Wewe umeona huu uovu wa kulea watu unafanyika nchi jirani!!!? I still doubt kama uko sawa
  9. Advocate Justine

    Vyeti vya Makonda: Ni Siasa za Woga na Hofu ya Ukali wa Sizonje?

    Umeandika vyema sana. Kwani wale wengine wenye dizaini ya Makonda walishtakiwa na mwananchi wa kawaida? Walitumbuliwa na wala taratibu za kushtakiwa na kupelekwa mahakani hazikufuatwa. Hivyo Makonda ATUMBULIWE. Kwani wengine walichunguzwa na mwananchi wa kawaida? Walichunguzwa na serikali...
  10. Advocate Justine

    Nchi iliharibiwa na CCM haiwezi kujengwa na CCM

    Awali niliku-quote nikakuuliza juu ya: 1. Nani aliuza Kiwila Coal Mining. Je, aliendana na ahadi zenu juu ya kulitumikia Taifa bila kuweka maslahi yake binafsi mbele? 2. Kitendo cha wana-CCM kuhusika na Tegeto Escrow ni kuendana na ahadi zenu? Ndo maana nimesema hatuhitaji AHADI. Tunataka maendeleo.
  11. Advocate Justine

    Nchi iliharibiwa na CCM haiwezi kujengwa na CCM

    Nani kasema tunahitaji AHADI ili tuendelee? Hizi ahadi ziliandikwa kwenye Adhimio la Arusha February 5 1967, leo ni miaka 50. Swali. Mtazitekeleza lini?
Back
Top Bottom