Jinsi ya kujua mtoto ni wako au la kwa kutumia DNA ya kimila

Hii hoja yako ina udhaifu sana,mfano wewe na kaka zako na dada zako wote mnafanana alama za kiganjani na baba ako,so the same to watoto wako na wa kaka zako wanafanana alama za mkononi na baba zao(wewe na kaka zako) mpaka babu yao(baba ako) same to baba ako anafanana na kaka zake(ambao ni baba zako wakubwa/wadogo)nao pia wamekopi kwa baba ao(babu yako) na babu yako nae ana kaka zake na baba ake......

Kwa trend hiyo hapo juu ikatokea kaka ako unae share nae babu (yani mtoto wa kaka ake baba ako kwa baba ake mkubwa) akazaa na mkeo apparently lazma afaanane nae alama ya mkono so do u nayo hii utasemaje au utagunduaje kama mtoto ni wako? coz wote mnatokana na babu mmoja......

KAMA HUJAELEWA RUDIA TENA KUSOMA TARATIIIBUUUUU
 
Gentamycine pole kaka. Ila nakubaliana na wewe kuwa utafiti na juhudi za mtu ziheshimiwe.

Akhsante kuna Watu wanapenda mno kusafiria Nyota yangu wakidhani kuwa na Wao watakuwa kama GENTAMYCINE wakati ukweli ni kwamba GENTAMYCINE yupo mmoja tu na nilivyonavyo wao hata waniige vipi hawataweza kuvifikia na ndiyo hata signature yangu inasadifu kila kitu kuwa ni Talented and Charismatic. Mwishowe mwambieni huyo Mpuuzi kuwa muda si mrefu nakuja na kitu kingine hivyo ajiandae tena Kukikopi / Kukinakiri kama kawaida yake na kusema kuwa Kakiibua yeye na Jumatano na Ijumaa pia nakuja na Vitu vingine Kabambe viwili hivyo asichoke kuvisubiria na kuvinakiri. Watu nyota zao ni za Bundi na zinawasumbua sana hivyo sasa wanadandia dandia tu za wenzao ambazo zimetukuka kutoka kwa mwenyewe Mwenyezi Mungu. Na nilichomdharau huyo Mpuuzi wenzake huwa wakifanya hivyo basi hujitahidi kubadili hata maneno na mtiririko mzima wa Story lakini lenyewe lilivyo PUMBAVU limenakiri kila kitu vile vile. Kama anataka nimpatie rasmi hii Brand ID yangu aseme tu na Mimi nitaanzisha nyingine ambayo nina uhakika kuwa ndani ya muda mfupi sana itakuwa juu na kukubalika tena pengine hata kuishinda hii. Ukibarikiwa umebarikiwa tu Mkuu kibuyu180 .
 
Mleta mada amezungumzia Kiungo kimoja ila kimsingi ni Viungo vingi vinavyoweza kufanana Kati ya Mtoto na Wazazi wake. Pia unaweza kukuta alama za Vidole vimefanana na ***** na sio lazima afanane na babae. Kimsingi kila Mzazi ni lazima awe na ufanano kwa mwanae.

Viungo vingine vya kutazama kwa mtoto ni Vidole vya Miguu, Masikio, Nywele, Meno na Macho!. .


Kuhusu Kuzaa na Ndugu wa Mume au Mke.

Kuna uwezakano mkubwa wa ndugu kufanana baadi ya Viungo kufanana kabisa hadi ukahisi labda mumeo au mkeo alichipuka!."yawezekana ni kweli alichipuka au sio kweli"!.

Mfano nikijitolewa mfano mimi mwenyewe Kuna kidole cha mguu (Kidole cha pili baada ya dole gumba la Mguu) tunafanana mimi, babaangu, baba yangu mdogo (anaemfuata babaangu) pamoja na bintie yaani binti wa Mjomba wangu/babaangu mdogo!. "Lakini mimi nilizaliwa wakati babaangu anafanya Kazi Wilaya tofauti na yule ya mjomba wangu".

Mfano wa pili: Nimerithi pia nafasi kwenye meno (Mwanya) kutoka kwa mamaangu.



Kumbukeni sio kila nadharia ya asilia ni ya kweli au ya Uongo!
 
Na hiyo ndio hoja inayo nipa nguvu ya kulipinga hili kwa nguvu zote maana kuna bwana mdogo ana watoto mapacha hapa lakin viganja vyao tu kwa vinatofautiana kabisa sasa sijui usahihi wa hili ukoje na madogo ukiwaona wamefanana na baba yao kichwa sura na kika kitu huo ni sawa tu na ule wa mara oo ukiona mwanamke ana mdomo sijui ukoje basi na maumbile yake sijui vipi ,,yote ni uzushi hayana ukweli.
Sio lazima wafanane Viungo vyote hivyo unavyotaka!. Hata kufanana Sura kunatosha au kingine tofauti na sura labda Macho, masikio au nywele!
 
Wengi wamezungumzia kuwa kwani mtoto hawezi kuwa na alama sawa na mama yake nami nawauliza mnajua kwa nn DNA hapimwi mama?Sipingani na hoja ya mtoa uzi huenda una ukweli ndani yake tusiogope tupende kuwa wadadisi wa mambo,tatizo ni woga wa majibu.Kuna kitu mleta uzi amenikumbusha .Kuna siku tulikuwa semina ukawadia mda wa mada inayohusu DNA ni nn na taratibu za upimaji na kwa nn na sababu kuu za kufikia hatua za upimaji wa DNA.Mwendesha semina akatoa changamoto ya kufanya challenge kwa wanasemina tulikuwa themanini akasema ambao wako tayari kujitolea kufanya majaribio kwenye familia zao waamshe mikono ili waandikwe akiwa sirias nakuapia tulikuwa na dada wapatao thelathini hakuna aliethubutu kunyosha mkono mpaka mwendesha semina akahoji kwa nn walibakia kimya.Maana yakutoa maelezo yote haya ni jinsi watu walivyopokea utafiti wa ndg yetu asikwambie mtu kimbembe hiki akina mama wetu wa kisasa huu uzi wanauona kama msumali wa moto lkn sio hivyo na mwanaume ambae atafanya majaribio yakamwendea kombo asikurupuke ajione yeye ni bingwa kwa kuthubu kujizibiti mwenyewe.Nawatakia uchangiaji wenye tija sio kurushiana maneno.Mleta uzi kaleta kutukumbushia wazee wetu sayansi waliotumia ktk jamii zao kumaliza mizozo japo uhakika wake bado wa mashaka mashaka.
 
Mada yako ni nzuri ila utangulizi wako ni mrefu sana hadi nimechoka kusoma..
 
Hii ni kweli kabisa japo wengine husema kwamba mkono mmoja atafanana na baba na mwingine atafanana na mama
 
Hii ni kweli kabisa japo wengine husema kwamba mkono mmoja atafanana na baba na mwingine atafanana na mama
 
Mkuu ebu waulize hao wazee haiwezekani ikatokea alama za mikono hizo kufanana na mama yake unaua bendi
 
Back
Top Bottom