Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
TAARIFA KUTOKA KATIKA OFISI YA MBUNGE WA JIMBO LA BUNDA
Mbunge wa Jimbo la Bunda, na Mjumbe wa Kamati kuu Mheshimiwa Ester Bulaya ,Leo amefanikiwa kufanya kile ambacho hakikuwahi kufanywa na Mbunge yeyote katika jimbo hilo.
Katika kile ambacho kimeonekana ni muhimu katika kwa Jimbo lake na Taifa kwa ujumla,kwa vizazi vya sasa na vya baadae, Mheshimiwa Ester Bulaya amagawa vitabu vya michepuo ya Sayansi na Sanaa ( Art's) kwa shule zote za Msingi na Secondary katika Jimbo la Bunda.
Jambo hili linamfanya Mheshimiwa Ester Bulaya kuingia katika Kumbukumbu ya wapigania haki za Elimu, katika nchi na hasa katika Jimbo lake la Bunda Mjini.
Hili ni jambo jema ,linalofaa kuigwa na kila Mtanzania ,hongera sana Mheshimiwa Ester Bulaya.