Nchi iliharibiwa na CCM haiwezi kujengwa na CCM

Narudia tena ni mpumbavu tu ndiye anayeweza kuandika kwamba kujadili kuhuu kupatikana kwa katiba mpya ya rasimu ya Warioba ni kupoteza muda na rasilimali za Taifa wakati huo huo mpubavu huyo yuko kimya kabisa kuhusiana na ufisadi uliokithiri ndani ya Serikali ya wahuni wa CCM ambao umeliingizia Taifa hasara ya trillions na hakuna hata mhusika mmoja ambaye ametiwa hatiani.

Rasimu ya Warioba haikuwa na mapungufu yoyote yale, mapungufu ni kwenu wahuni wa CCM kwa kuona kwamba kama rasimu ile ingepitishwa nasi ndiyo ingekuwa kiama cha kuendelea kung'angania madarakani kufanya ufisadi wenu.

Tunazungumzia ufisadi ambao umeligharimu Taifa trillions of shillings kuanzia EPA, Richmond/Dowans, Escrow, IPTL, MV ufisadi, ukwapuzi wa pesa za wahanga, Ukwapuzi wa nyumba za Serikali, Uuzwaji wa mashirika ya umma, ununuzi wa rada, Kagoda, Meremeta. Ufisadi wote huu haukufanywa na CHADEMA bali ulifanywa na wahuni wa Serikali ya CCM.

Hakuna jipya lolote lile la Watanzania kuendelea kuichagua CCM chama ambacho ni janga kubwa la Taifa hili miaka nenda miaka rudi na mnajua fika kwamba kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki KAMWE hamuwezi kushinda. Sasa huyu dikteta uchwara anabaki kutoa kauli utadhani ana hati miliki ya Tanzania, "Katiba mpya si kipaumbele changu" Wewe nani kakupa madaraka ya kutuamulia Watanzania katiba tuitakayo.

Tia akili kichwani acha kutetea wahuni na mafisadi wa MACCM. Simamia maslahi ya Tanzania na Watanzania badala ya kikunndi cha wahuni wachache.

soma taratibu ujibu kwa uelewa wa kilichoandikwa, Relax
sawa ya katiba tutafanya marudio ya Mijadala kitu ambacho ni upotevu wa rasilimali Muda
mimi na wewe kujadili Rasimu ya warioba leo, wakati mengi yamejadiliwa wakati wake ni vain repetition. sasa kama unaamini Katiba ile ni bora mno Piga kelele, Kama unaamini Iliyoundwa baadae, Piga kelele pia. Ile iliyoundwa na ya warioba nakubaliana nayo ila naamini inamapungufu makubwa na haikufaa kupitishwa moja kwa moja. Mijadala hii itafaa siku suala la katiba likiibuliwa tena. Lakini kwa sasa,

1: Katiba Bora ni ya Muhimu sana kwa Taifa.
2: Ninakubaliana na Tume ya Warioba lakini pia nakubali kuwa Rasimu ilikuwa na mapungufu mengi mno yenye kuhitaji Umakini mkubwa kuliko ule wa bunge la katiba.

3: Sikubaliani na Mfumo mzima wa Bunge la katiba na huo ndio chanzo cha malalamiko yako na sio kwa sababu wengi wanasadikika kuwa CCM bali Walipaswa kuwekewa masharti magumu mno yatakayowafunga kisiasa kwa zaidi ya miaka hata kumi. Hapo naamini CDM wote na CCM wengi wangekimbia hiyo sacrifice maana siasa wengine ndio ugali. Hivyo Vacancy ingejazwa na watu sahihi.

Kuhusu Tuhuma za Ufisadi zilizopita, kila chama kina mapungufu makubwa sana tukijadili ya chadema na uongozi wake tu, Unaweza kurusha hata SOFTNGUMI kupitia keyboard. Ya CCM yanamadhara makubwa kwa sababu keki tamaniwa iko mikononi mwake miaka mingi. Kama chama chochote duniani na Chenyewe kinapitia katika masahihisho angalau kuzuia leakages nyingine kama hizo kwa faida ya wananchi. Hakuna kwenye andiko lolote la CCM watu wanaambiwa Waibe, wawe mafisadi, na orodha uliyoitoa. Ni kama yale yale tu yaliyotokea Mbinguni. Kiumbe msafi rucifer akageuka kuwa Shetani na kutia hasara Mbingu haiifanyi mbingu kuwa Haifai bali Itafanya mabadiliko ili asitokee Shetani mwingine.
 
Walioharibu kama usemavyo nusu wapo chadema kwakuiba mashamba, migod, majumba na kumsingzia msukuma wakati hujawahi kuwa pm, wahulize wamekuja chadema kujenga chama Au kukimiliki kama walivyo fanya wakiwa ccm,, wakikupa jibu,,
 
walioharibu nchi washahamia chadema. walikuwa watendaji wakuu wa serikali more specific pm`s. hata wenye ccm ya zamani waliokuwa drawing board nao wako chadema more specific kingunge. wenyeviti wa mikoa kibao waliokuwa ccm ya zamani wako chadema, tuseme hivi chadema=ccm ya zamani. ccm Mpya ilizaliwa upya na kubatizwa kwa moto na ndo itarekebisha uharibifu wa ccm ya zama I(chadema)
Andrew Chenge yuko wapi ndugu? Anna Tibaijuka yuko wapi? Lidhiwani yuko wapi?
Chenge sasa kaundiwa kamati kumchunguza eti sababu alichukua 1.6 billion kwenye Tegeta Escrow. Kwa nini asipelekwe kwenye mahakama ya mafisadi moja kwa moja?
Chenge ni mwanasheria, CCM wanajua wazi. Kaikataa kamati kuwa haina "jurisdiction". CCM wamemuundia ili kutudanganya wananchi kuwa wanapambana na mafisadi. Ni uongo mtupu.
Kiwila Coal mining iliuzwa na Rais, jina limehifadhiwa, kwa manufaa yake binafsi. Je naye yuko CHADEMA?
Mashamba ya mpunga Mbalari Mbeya waliuzuwa wachina na pesa ikawekwa mfukoni mwa Rais fulani, je kuna aliyewahi kuwa Rais ambaye kahamia CHADEMA?
Sasa uharibifu mkubwa ni awamu hii. Kafanya haraka kuunda mahakama ya mafisadi ili kutudanganya kuwa ufisadi is to an end.
Minimum requirement ni tsh 1 billions. Ukiiba chini ya hapo mahakama hii inakosa jurisdiction, uko safi na salama. Huu ni udanganyifu, "corruption is to use public entrusted power, however small, for personal gain".
Kwa hiyo Rais tafsiri yake karuhusu ufisadi uendelee ila iba kidogokidogo usiibe 1 billion at once.
CCM haitaliendeleza hili Taifa milele yote. Iko na hatua za mtu mlevi, moja mbele mbili nyuma. Wamejenga UDOM kuondoa uhaba wa vyuo, sasa yamekuwa majengo ya Wizara. Huu ni uhaba ENDELEVU!

TAA IMEZIMA HUONI NA UKINIJIBU UTAANDIKA GIZANI. BASI GIZA JEMA MTANZANIA.
 
Nakubaliana nawe juu ya Lowasa. Lakini siyo juu ya Slaa. Slaa huyu huyu aliyekubali kutumika na CCM wakati wa uchaguzi?!? Huyo siyo mwanamageuzi wa kweli; kwa kukorofishana na chama chake cha zamani, angekaa zake kimya na kujiondoa kwa staha na heshima. Lakini kwa alivyotumika, sisi tuliomwaminia, tulimtoa maana kabisa.
Sitakuja kuihamin chadema kwa uongooo waliotutangazia jangwan na kupata Kiki bunge la 2008_2014 '' leo hii wamebaki kupambana na kauli sio njia mpya ya Upinzan,,,ukiwa mhongo usisahau,,, CCM inaendelea na itaendelea zaid ya miaka 20,, kama stahli hii ya kujiteka, kujifanya nabii unapotea kimiujiza,, kudanganywa na mtu mmoja anayekurupuka na kujitamba kuwa yeye ndiye msomi pekeeee wa sheria serikali haimuwez bla kujiuliza kwann wenzie wapo lopango,,mtu mmoja kujifanya Boss zaid ya wengine swala la ruzuku hakuna mtu kuhoji,,,. NASEMA NCHI HII HAINA UPINZAN WENYE MACHO ISIPOKUWA WAPO KUPOTEZA WA TANZANIA
 
kumbuka akili iliotumika kuleta tatizo haiwezi kutumika kutatua tatizo
Anaeweza kutatua tatizo alielisababish mwenyewe ni yeye mwenyewe sio MTU mwngine.... Ndoa yako haiwez kuwekwa sawa km inalegalega bila wewe mwenyewe
 
Narudia tena ni mpumbavu tu ndiye anayeweza kuandika kwamba kujadili kuhuu kupatikana kwa katiba mpya ya rasimu ya Warioba ni kupoteza muda na rasilimali za Taifa wakati huo huo mpubavu huyo yuko kimya kabisa kuhusiana na ufisadi uliokithiri ndani ya Serikali ya wahuni wa CCM ambao umeliingizia Taifa hasara ya trillions na hakuna hata mhusika mmoja ambaye ametiwa hatiani.

Rasimu ya Warioba haikuwa na mapungufu yoyote yale, mapungufu ni kwenu wahuni wa CCM kwa kuona kwamba kama rasimu ile ingepitishwa nasi ndiyo ingekuwa kiama cha kuendelea kung'angania madarakani kufanya ufisadi wenu.

Tunazungumzia ufisadi ambao umeligharimu Taifa trillions of shillings kuanzia EPA, Richmond/Dowans, Escrow, IPTL, MV ufisadi, ukwapuzi wa pesa za wahanga, Ukwapuzi wa nyumba za Serikali, Uuzwaji wa mashirika ya umma, ununuzi wa rada, Kagoda, Meremeta. Ufisadi wote huu haukufanywa na CHADEMA bali ulifanywa na wahuni wa Serikali ya CCM.

Hakuna jipya lolote lile la Watanzania kuendelea kuichagua CCM chama ambacho ni janga kubwa la Taifa hili miaka nenda miaka rudi na mnajua fika kwamba kama uchaguzi utakuwa huru na wa haki KAMWE hamuwezi kushinda. Sasa huyu dikteta uchwara anabaki kutoa kauli utadhani ana hati miliki ya Tanzania, "Katiba mpya si kipaumbele changu" Wewe nani kakupa madaraka ya kutuamulia Watanzania katiba tuitakayo.

Tia akili kichwani acha kutetea wahuni na mafisadi wa MACCM. Simamia maslahi ya Tanzania na Watanzania badala ya kikunndi cha wahuni wachache.
maoni mazuri.
Ila CCM kuwa na muelekeo huo kwa maoni yako haina tatizo kabisa na Nchi hii kwa reference ya misingi yake taratibu na viapo vyake
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI

(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja

(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote

(3) Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.

(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.

(5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.

(6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.

(7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.

(8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.

(9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.

hapo kuna ufisadi au uovu gani mkuu tukiweka mihemko na husda za kisiasa pembeni.Huyo ndio Default mwana CCM. Kama unaungana na hayo na BAK wewe ni mwanaCCM.

Unachochanganya.
Unachanganya mwanaCCM na CCM yenyewe. Yawezekana wakatokea wanaCCM wa Misingi hiyo.
Kama huelewei; Mfano huwezi Huwezi kuuchukia Uislam au Ukristo kwa sababu ya waumini wake na kuchagua kuwa mpagani. Uchukie ukristo au uislamu kwa sababu misingi yake Haifai. YAani Huwezi kuichukia Nguo safi kwa sababu aliyeivaa ni mwizi au fisadi au jambazi. Bali utamchkia yule aliyeivaa au ikiwezekana fanya bidii uivae wewe.

Nashukuru kwa kuwa utanielewa in advance.
Karibu.
 
Nani kasema tunahitaji AHADI ili tuendelee?

Hizi ahadi ziliandikwa kwenye Adhimio la Arusha February 5 1967, leo ni miaka 50.
Swali.
Mtazitekeleza lini?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Acha kuonyesha ujuha wako hadharani Mkuu! Kama binadamu wote ni ndugu za dikteta uchwara basi Lema na lijualikali wasingekuwa lupango badala yake mafisadi akina lugumi na wengineo chungu nzima ndiyo eangekuwa lupango.

Hizo ahadi za chama cha wahuni ni mufilisi hazina maana yoyote ile zaidi ya usanii na kuwazuga Watanzania huku mkifanya ufisadi wa kutisha miaka nenda miaka rudi. Rada, escrow, iptl, Richmond/dowans, lugumi, MV ufisadi, bilioni 16 za wahanga, kukwapua nyumba za Serikali, kutumia pesa chungu nzima bila ya kuidhinishwa na Bunge.

Tia akili kichwani acha kuidumaza akili yako kwa kuwakumbatia wahuni, wezi, majangili, watoa na wapokea rushwa, madikteta uchwara etc.

Simama uhesabiwe katika kulinda maslahi ya nchi yako. Siwezi kuelewa upuuzi wowote ule unaoandika wa kuwapigia debe hawa wahuni na mafisadi wanaoiangamiza nchi.

Mtu mwenye kujitambua, mwenye akili timamu na mapenzi ya kweli na Tanzania KAMWE hawezi kujihusisha na hawa wahuni wa MACCM.

'' ili nchi iendelee inahitaji vitu vinne; watu, ardhi,siasa safi(imemezwa kwenye maelezo ya ahadi) na uongozi bora '' Nyerere kasema.
naomba proof kuwa sasa nchi haihitaji watu ambao si competent kwenye hayo mambo 9 kwa sababu ni ya mwaka 1967.
Naomba maoni yako nini kinahitajika.

Mabadiliko ni Time independent; yanaweza kuchukua miaka, siku, mwaka, saa, dakika, karne.
Chanzo cha mabadiliko iknaweza kuwa ndani au nje. Wewe unaweza kuyaleta leo ukiamua.
mimi ninakupa uhalisia wa mambo maana sio msemaji wao.
 
'' ili nchi iendelee inahitaji vitu vinne; watu, ardhi,siasa safi(imemezwa kwenye maelezo ya ahadi) na uongozi bora '' Nyerere kasema.
naomba proof kuwa sasa nchi haihitaji watu ambao ni competent kwenye hayo mambo 9 kwa sababu ni ya mwaka 1967.
Naomba maoni yako nini kinahitajika.

Mabadiliko ni Time independent; yanaweza kuchukua miaka, siku, mwaka, saa, dakika, karne.
Chanzo cha mabadiliko iknaweza kuwa ndani au nje. Wewe unaweza kuyaleta leo ukiamua.
mimi ninakupa uhalisia wa mambo maana sio msemaji wao.
Awali niliku-quote nikakuuliza juu ya:
1. Nani aliuza Kiwila Coal Mining. Je, aliendana na ahadi zenu juu ya kulitumikia Taifa bila kuweka maslahi yake binafsi mbele?
2. Kitendo cha wana-CCM kuhusika na Tegeto Escrow ni kuendana na ahadi zenu?
Ndo maana nimesema hatuhitaji AHADI. Tunataka maendeleo.
 
Acha kuonyesha ujuha wako hadharani Mkuu! Kama binadamu wote ni ndugu za dikteta uchwara basi Lema na lijualikali wasingekuwa lupango badala yake mafisadi akina lugumi na wengineo chungu nzima ndiyo eangekuwa lupango.

Hizo ahadi za chama cha wahuni ni mufilisi hazina maana yoyote ile zaidi ya usanii na kuwazuga Watanzania huku mkifanya ufisadi wa kutisha miaka nenda miaka rudi. Rada, escrow, iptl, Richmond/dowans, lugumi, MV ufisadi, bilioni 16 za wahanga, kukwapua nyumba za Serikali, kutumia pesa chungu nzima bila ya kuidhinishwa na Bunge.

Tia akili kichwani acha kuidumaza akili yako kwa kuwakumbatia wahuni, wezi, majangili, watoa na wapokea rushwa, madikteta uchwara etc.

Simama uhesabiwe katika kulinda maslahi ya nchi yako. Siwezi kuelewa upuuzi wowote ule unaoandika wa kuwapigia debe hawa wahuni na mafisadi wanaoiangamiza nchi.
naona umeamua kusoma maoni yangu huku umefumba macho, huku ukirudia maneno yale yale yaliyokuwa programmed kichwani miaka nenda rudi.
Mimi hapa sitetei uhuni auufisadi nakupa default CCM kama ingekuwa kwenye kemia au physics enzi hizo default hii ni sawa under Standard Temperature and Pressure STP (without any external disturbance) . Pia kile unachokiita ujuha wangu mimi ninakiita mjuha nakiita ni wito wa kuungana na mbadala usio na misingi wala mizizi. Ninashauri hata CDM mchukue hizo ideology zitawatoa na leo Msigwa asingekuwa Mwenyekiti huko aliko.

nyumba yako akiingia nyoka unahamia kwa jirani mkuu wewe na familia yako.
Usipofushwe na chuki au maumivu ya kisiasa, hapa nakupa facts kuhusu malalamiko yako mkuu. CCM haijawahi kuwa na shida kama default CCM, ila wanasisiemu wanashida nyingi tu nyingine umeorodhesha hapo kama walivyo wanachadema au ukawa.
 
Awali niliku-quote nikakuuliza juu ya:
1. Nani aliuza Kiwila Coal Mining. Je, aliendana na ahadi zenu juu ya kulitumikia Taifa bila kuweka maslahi yake binafsi mbele?
2. Kitendo cha wana-CCM kuhusika na Tegeto Escrow ni kuendana na ahadi zenu?
Ndo maana nimesema hatuhitaji AHADI. Tunataka maendeleo.
hayo maswali kuna taasisi nyingi zinazohusika nayo ukiwatembelea watakutajia mimi sijui chochote wala sina ushahidi unaweza kusaidia kama unajua. mmomonyoko wa uaminifu ni tatizo la taifa sio mtu. Ndio maana nasema hata kwenye nyumba za sara kuna Amri kumi lakini unaweza kukuta 90% au 100% wanazivunja habari gani wanasiasa. Vyote hivyo havibatilishi Amri kumi au kufanya Mjumuiko huo kuwa batili kama tuavyoona kwenye siasa. Juhudi zozote za kurudisha nidhamu hata kama zinamapungufu zafaa sana.
 
Kwa akili yako fupi cha ajabu uko kimya kuhusu ufisadi mkubwa unaofanywa na wahuni wa chama chenu. Halafu unatuletea usanii hapa wa huo upuuzi wa ahadi uchwara za CCM ambazo hazina maana yoyote ile. Kumbuka kulivua gamba lakini aliyetaka kulivua gamba alipoambiwa Ikulu hakutalalika akaufyata. Hakukuwa na kuvua gamba tena lakini mpuuzi wewe wameshakuchota akili yako yote haya huyaoni ila kwako wewe katiba mpya ni kupoteza muda na rasilimali!

Huna facts zozote wewe! Ni pumba tu! Labda zipeleke pumba zako kule lumumba wataziona facts lakini si humu. Unaruka ruka huku na kule kuandika pumba mwenyewe unaona ni facts! Hahahahaha mpuuzi kweli wewe yale yale kama ya dikteta uchwara niacheni niinyooshe nchi sitaki mtu anicheleweshe kumbe ukweli anaangamiza nchi! Uchumi chaliiii! Kila kitu nchini hovyo hovyo tu kabaki vitisho, kejeli, kuingilia mahakama na kulidharau Bunge.

naona umeamua kusoma maoni yangu huku umefumba macho, ukirudia maneno yale yale yaliyokuwa programmed kuchani miaka nenda rudi.
Mimi hapa sitetei uhuni auufisadi nakupa default CCM kama ingekuwa kwenye kemia au physics enzi za hizo default hii ni sawa under Standard Temperature and Pressure STP (without any external disturbance) . Pia kile unachokiita ujuha wangu mimi ninakiita mjuha nakiita ni wito wa kuungana na mbadala usio na misingi wala mizizi. Ninashauri hata CDM mchukue hizo ideology zitawatoa na leo Msigwa asingekuwa Mwenyekiti huko aliko.

nyumba yako akiingia nyoka unahamia kwa jirani mkuu wewe na familia yako.
Usipofushwe na chuki au maumivu ya kisiasa, hapa nakupa facts kuhusu malalamiko yako mkuu. CCM haijawahi kuwa na shida kama default CCM, ila wanasisiemu wanashida nyingi tu nyingine umeorodhesha hapo kama walivyo wanachadema au ukawa.
 
Kwa akili yako fupi cha ajabu uko kimya kuhusu ufisadi mkubwa unaofanywa na wahuni wa chama chenu. Halafu unatuletea usanii hapa wa huo upuuzi wa ahadi uchwara za CCM ambazo hazina maana yoyote ile. Kumbuka kulivua gamba lakini aliyetaka kulivua gamba alipoambiwa Ikulu hakutalalika akaufyata. Hakukuwa na kuvua gamba tena lakini mpuuzi wewe wameshakuchota akili yako yote haya huyaoni ila kwako wewe katiba mpya ni kupoteza muda na rasilimali!

Huna facts zozote wewe! Ni pumba tu! Labda zipeleke pumba zako kule lumumba wataziona facts lakini si humu. Unaruka ruka huku na kule kuandika pumba mwenyewe unaona ni facts! Hahahahaha mpuuzi kweli wewe yale yale kama ya dikteta uchwara niacheni niinyooshe nchi sitaki mtu anicheleweshe kumbe ukweli anaangamiza nchi! Uchumi chaliiii! Kila kitu nchini hovyo hovyo tu kabaki vitisho, kejeli, kuingilia mahakama na kulidharau Bunge.
hahahahaa umepanic brother
kwa mtu aliyehuru ananielewa vizuri tu, labda kama utaelewa siku ukielezewa na viongozi wako haya.
kuna option mbili
1:Turudi kwenye basics na defaults za ccm
2:Tukumbatie rootless,Visionless, non-directional mbadadiliko kutoka ukawa au nje ya CCM.
Kwangu mimi plan A ni Cheapest, na nakupendekeza wewe kama unaona CCM wamelala hamia ili uwasaidie.
maana sioni dhambi yoyote kwenye mizizi na misingi ya CCM ila wanaCCM wachache wabinafsi.

Au mkuu unapropose Platform gani ya kutuletea maendeleo. nisikubeze unaweza ukawa unapoint nyuma ya malalamiko yako
 
Ndiyo akili fupi zako zilipoishia hapo. Ufisadi wa CCM hutaki kabisa kujadili kwa sababu nawe ni mnufaika sasa unabaki kuleta viroja vya eti nimepanic!

Maendeleo ya Tanzania KAMWE hayawezi kuletwa na wahuni wa CCM ambao pamoja na utajiri mkubwa wa rasilimali lakini kwa miaka 55 wameshindwa kabisa kuleta maendeleo yoyote yale na nchi inarudi nyuma kwenye kila sekta muhimu.

Utawala wa sheria hakuna dikteta uchwara anasingizia hawezi kufukua makaburi ya zamani kwa sababu hawezi kuyafukia! Ukweli ni kwamba kwa sababu yeye mwenyewe ni fisadi pia ana makaburi ya zamani chungu nzima lakini mpuuzi wewe kwa sababu nawe ni mnufaika wa huu utawala dhalimu huoni uongo mkubwa wa miaka nenda miaka rudi wameshakuchota akili sasa umebaki kuwakumbatia kama mbwa koko aliyetupiwa fupa.

Acha ujuha tia akili kichwani ili uachane na wahuni wanaoiangamiza Tanzania.

mimi sio mnufaika wala sijawahi kunufaika kwa chochote zaidi ya Amani,Labda ada kidogo za shule na vyuo vyetu vya serikali na unafuu wa taasisi za mikopo za serikali mkuu. Ila najaribu kuingalia CCM kupitia jicho mbadala kama mwananchi mwema. Siangalii matatizo yaliyotokea au yanayoendelea kutokea kwa sababu kubwa. Matatizo hayatatuliwi kwa kutaja watu, kuwatukana, kuwakebehi, au kutuhumu kila aliyembele yako bali yanatatuliwa kwa kuweka system itakayocompasate huo udhaifu. kwangu mimi best option ni CCM hiyohiyo. Maana Kiatu cheusi kizuri cha ngozi kikipata vumbi au matope hukitupi bali unakibrash au Unakiporish. It is cheapest decision to have polished CCM leo au kesho which will result to Quantam Leap faster kuliko kukabidhi vikundi vya wahuni wachache ambao hawaaminiki na hawana mbadala wa kueleweka. Hivi ndivyo walivyofanya China baada ya kifo cha mao, hata juzi Singapole walikifanyia chama chao Repolishing ili kukabiliana na updates za changamoto. You can choose to be a best polisher ukiwa ukawa huko huko huko uliko pia

nimekuomba altenative platform unaendeleza series ya malalamiko.
Wacha kelele mkuu leta best option on your side.
Nakuuliza kwa sababu najua unaelewa... na hukosi kizuri cha kuchangia.
 
Mkuu ukubwa wa CCM haujaweza kutatua maadui watatu yanayolikabiri taifa letu aliosemwa na mwanzilishi wake Dr Julius Kambarage Nyerere miaka ya 60 mara baada ya kupata uhuru,ambayo ili taifa lolote liendelee linahitaji kungoa maadui watatu ambayo ni: UJINGA,MARADHI na SIASA MBOVU au UTAWALA MBOVU
Upo ukweli usio na shaka kwamba Chama tawala kimelemewa au kimeishiwa pumzi,kimebakia kufanya kazi kwa mazoea.Hakitaki kuachia madaraka kwa gharama zozote wala hakitaki kuazima mawazo bora toka nje ya CCM.
Ni wazi kabisa mkanganyiko wa matamshi pingamizi/tata ya utawala wa sheria,ni matokeo ya kutokuwepo mfumo thabiti wa uongozi uliotukuka.
 
Gari likishaua injini, huwa unabadilisha unaweka nyingine.
 
Back
Top Bottom