Uchaguzi Mkuu 2015: Nani anastahili kura yako?
Ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu wa 2015, kila raia wa Tanzania mwenye umri kuanzia miaka 18 na aliyejiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura, atatakiwa kushiriki katika kuwachagua viongozi mbalimbali katika ngazi za Urais, Ubunge na...